The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,179
- 14,058
😄Baadae atakuambia ameshindwa kutoroka ngoja aolewe kwa mwaka mmoja tu halafu atakuja kwako. Ushauri shituka acha kuamua mambo kwa hisia, hicho Kiwanja tayari kinamgogoro usinunue.