DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,619
Nawazungumzia mapacha wa kufanana Josh na Jeremy. Hawa jamaa wamewaoa wanawake mapacha wa kufanana Britanny na Briana.
Wake zao wote wamezaa watoto wa kiume, watoto wao wote wamezaliwa tarehe moja tarehe 22/02/2022. Familia zote mbili zinaishi nyumba moja
Imekaaje hii wakuu? [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app