napata tabu sana kuona kila uchwao rafiki zangu wana break up na wapenzi wao, n kama mahusiano siku izi yamekua kitu flani chepesi kuwa u can just forget and move on kudate mtu mwingine. kwa watu wengi wanaachana wanaenda kudate mtu mwingine wanakuta kule kuna changamoto zaidi au afadhali alikotoka anaanza kumsumbua ex wake, au anataka kurudi kwa ex wake ila anaona kama akimwambia n kama ataonyesha weakness ivi.
lakin mwisho wa siku anakuja kusema inakua too late Nmeona ii trend inajirudia kwa watu wangu wa karibu na me pia n mhanga wa ii kitu, Najua kuna deal breakers kene mahusiano, tusiwe sana negative na wapenzi wetu wao n binadamu pia, binafsi naumia sana kuona watu wanapendana bado lakin kila mtu anajustfy mapenzi hayawezekani tena (labda nmekua so naingalia picha ya mbali zaidi).
na tunavozidi kudate na kuachana sometimes tunaongeza emotional baggage yan huko ndo zile imani zako chafu kuhusu wanaume/wanawake zinaongezeka. No body is perfect, we are all work on progress, love grow with time.
Tukubali kusamehe na kuomba msahama, hasira hasara, lets not let our Ego make most of us, mwisho wa siku wote tunajenga nyumba moja tusiishi kwa kukariri kwa kuangalia mahusiano kama black and white...
Ii haiwahusu wazee wa short course au wazee wa one night stand au wale wazee wa kutest ( pump and dump) ni kwa wale ambao kuwa kene mahusiano inamaanisha unakua commited na mtu possibly kuoana.