Mahusiano na UKIMWI.

Haaaa hapa umemaliza mydia kwa kweli this is what is happening ndani ya zile kuta. Duh umefikisha ujumbe mama!!
 
ukweli ni kwamba hata huko nje mnatumia mara mbili ya tatu mnaziweka kando...hakuna jema.
kama ni nyumba ndogo sawa........
lakini kama unapiga na kuondoka huitaji kujiweka wala kujikommit

mi na washauri wanaoweza wawe makini sana kuwapa respect na haki zao wake zao
 
nadhani hapa ishu sio kifo, ishu ni kutokana na gonjwa lenyewe jamani, kama ulishawahi kuwa na mtu wa karibu uliewahi kumuuguza na hii ishu bac utakuwa muoga na huo ugonjwa....
 
Who Cares

Hakuna anayeogopa kifo kwani wote tunajua kuwa hakiepukiki but kifo cha mateso ambacho unaweza kujikinga ndicho kinachouma mydia. Na ni bora ukakitafuta mwenyewe kuliko ukajituliza kama kasuku and then unajikuta unaletewa.
 
kama ni nyumba ndogo sawa........
lakini kama unapiga na kuondoka huitaji kujiweka wala kujikommit

mi na washauri wanaoweza wawe makini sana kuwapa respect na haki zao wake zao

huyo nyumba ndogo yako na mwenyewe ana nyumba ndogo na huko hatumii kinga, na unakuta nyumba ndogo yake ni mume wa mtu kama ulivyo wee achia mbali hao mabachela wenzie atakaokuwa nao.....huo mzunguko ni kiboko walaaah.
 
Who Cares

Hakuna anayeogopa kifo kwani wote tunajua kuwa hakiepukiki but kifo cha mateso ambacho unaweza kujikinga ndicho kinachouma mydia. Na ni bora ukakitafuta mwenyewe kuliko ukajituliza kama kasuku and then unajikuta unaletewa.

mie hapo tu, linakuletea na bado unaliuguza.
 
Mimi staki kuamini kama hakuna suluhisho jamani. Haya hapa naona kama tunashindwa kuhimiza condom hasa kwa wanaume kama alivyosema Geoff. Kwani niulize swali kwani nini kinachofanya iwe ngumu kutumia kinga? Nakumbuka kuna wakati walilalamika kuwa zina harufu ya mpira ambayo inakera wakati wa tendo, zikaletwa zenye fruit flavors lakini bado hebu tusaidieni au kuna u-uncomfortability flani inayowafanya msizipende?
 
huyo nyumba ndogo yako na mwenyewe ana nyumba ndogo na huko hatumii kinga, na unakuta nyumba ndogo yake ni mume wa mtu kama ulivyo wee achia mbali hao mabachela wenzie atakaokuwa nao.....huo mzunguko ni kiboko walaaah.

NY.
Wewe piga hesabu ya mtandao wa wenyekufanya ngono zembe!
2 PEOPLE X2X4X8X16x32x64... mwisho wa siku utakuta umetembea na watu zaidi ya mia indirectly! Hapo kuna kupona?
 
nadhani hapa ishu sio kifo, ishu ni kutokana na gonjwa lenyewe jamani, kama ulishawahi kuwa na mtu wa karibu uliewahi kumuuguza na hii ishu bac utakuwa muoga na huo ugonjwa....

acha uoga wewee...ugonjwa wowote ni soo...hata malaria ni noma mbayaa...achilia mbali cancer...ndo maana Thabo Mbeki aliwaambia wazungu ukweli live...UKIMWI ni ugonjwa wa masikini...kama pesa ipo vizuri fasta wala ukimwi hauzingui kitu...sio hapa kwetu mpaka cd4 ziiishe ndio uanze kupewa ARV za kichina...wakati wao ulaya na marekani cd4 hata zikishuka kidogo tuu unaanzishiwa arv tena zao za ukweli..ARV ORIJINOO...TAFUTENI PESA KWA BIDII YOU WILL BE SUPRISED UKIMWI SIO ISSUE YA KUJADILIANA HAPA...hatuna pesa then hatuna starehe mbadala za ngono-zembe...ukiwa na pesa unakula starehe za ajabu na wako mmoja umpendaye kwa dhati....sio sikuhizi starehe kujifungia guest bubu na hoteli za vichochoroni kupeana magonjwa hovyo....
 
YOU CANT HAVE UR CAKE AND EAT IT!
Chagua kimoja...
HAPA MAMAANGU NIKUKUMBUSHE TU(kwa exiperience yako najua sina cha kukuelekeza kabisa),
1-wanaume hawako tayari kutumia kondoms kwenye ndoa zao,LABDA TU KUWE NA TATIZO NA WAMEKUWA INSTRUCTED TO DO SO
2-wanaume kuhusu ''kazi za nje''.....!well,ukweli ni kwamba THERE IS NOTHING YOU WOMEN CAN DO ABOUT IT!.....it is something INEVITABLE
3-na kama point nr 1 tajwa hapo juu ni sahihi hasa hasa tukijua nini maana ya NDOA.....na kama point nr 2 tajwa hapo juu ni sahihi hasa hasa mwanamke mwenye ndoa akiithibitisha.......!WOMEN SHOULD ADVISE MEN(remind them again and again) to condomise whenever they have sex OUTSIDE THEIR MARRIAGES.....!(naomba ieleweke kwamba SEX WATAFANYA TU,hata ukidhani hawafanyi...WAO WANAFANYA)
 
GOD FORBID!
Tema mate chini kwa kuidhalilisha SAKRAMENTI TAKATIFU!
HEHEHE!
eti mkuu niingie tarbenakle na RAFU RAIDA?
hapo orede nina valuu tatu kwa mukichwa na serengeti nne?....
hapo nimeshakamata mdudu kwa kinibu kama nusu kilo?
hapo nimeshamnunulia red wine?

GOD-FORBID
 
NY.
Wewe piga hesabu ya mtandao wa wenyekufanya ngono zembe!
2 PEOPLE X2X4X8X16x32x64... mwisho wa siku utakuta umetembea na watu zaidi ya mia indirectly! Hapo kuna kupona?

haponi mtu dada, pagumu kweli jamani.
 
mie hapo tu, linakuletea na bado unaliuguza.
Hahahha kuna siku nilisikiliza Leo tena, it was last week kama sikosei. Mke ndo alianza kuugua kwa vitendo i.e. kuonyesha kuwa kaambukizwa, mume akamrudisha kwa wazazi wake kwa kejeli kibao kuwa mkewe kapata UKIMWI na hivyo wamuuguze mtoto wao yeye hamtambui tena. Mke akauguzwa na wzazi wake na kuanza kutumia ART. Baaada ya muda akapona na kupanga chumba chake. then baba alipoanzakuumwa akarudi kupiga goti kwa mke.
 
ukweli mwingine unauma lakini ndio ukweli wenyewe, kwangu ishu sio kufanya, afanye na atumie kinga bac jamani, aje ajifie yeye kwa ulaku wake aniache japo nilee wanangu.
you can say that again and again and again and again
 
HEHEHE!
eti mkuu niingie tarbenakle na RAFU RAIDA?
hapo orede nina valuu tatu kwa mukichwa na serengeti nne?....
hapo nimeshakamata mdudu kwa kinibu kama nusu kilo?
hapo nimeshamnunulia red wine?

GOD-FORBID
Yaani kitu umehalalishiwa mbele ya kadamnasi ya watu,
Wazazi wake wamekubali mkafanye na binti yao matusi,
Mungu akakugongea Senksi madhabahuni,
Serikali ikakukabidhi cheti cha umiliki halali...

Halafu utumie Salama?

GOD FORBID!!!

Yaani mali yako peke yako uitafutie msaada?
 
KATIKA VITU AMBAVYO WANAWAKE HUKOSEA NA KUOONYESHA UDHAIFU MKUBWA ni kuanzisha hiyo hoja ya kutumia condoms kwenye ndoa
 
Huu wimbo ungekuwa kwa pande zote mbili, na watu wangeushikilia kwa dhati- Tanzania bila ukimwi ingewezekana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…