festiledi wani sikia,Ndoa ya mkataba sio suruhisho hata kidogo..swala ni kubadilli tabia tu ..ukiwa na tabia za uzinzi hata huko kwenye Contract utaendelea nayo.. Cha msingi wakati unataka kufanya kitu ni kuchukua muda kufikiria Faida/hasara zake .. Obviously hasara ni kubwa kuliko faida ..
Geoff,chrispin na Kaizer toeni michango yenu hapa this time mje bila hangover na weekend ..
Mdada kweli umenena but mbona tumeshaimbiwa sana kuhusu kubadili tabia imeshindikana? Kina Tacaids na NACP weshaimba saana lakini bado suala la uaminifu limegonga ukuta watu siku hizi hawamwogopi hata Mungu yaani ni maovu kwa kwenda mbele!!Ndoa ya mkataba sio suruhisho hata kidogo..swala ni kubadilli tabia tu ..ukiwa na tabia za uzinzi hata huko kwenye Contract utaendelea nayo.. Cha msingi wakati unataka kufanya kitu ni kuchukua muda kufikiria Faida/hasara zake .. Obviously hasara ni kubwa kuliko faida ..
Renegade,WOS
Wewe vp umeolewa? unatumia kinga na mwenzi wako? Hamna haja ya watoto? Au sijui mambo haya mnayapelekaje embu tushauriane zaidi kama watu wa kwenye ndoa!
Cousin habari ya miaka?? Mshiki hajambo?festiledi wani sikia,
tuwe wakweli na tuende straight to the material facts..........
swala la kubadili tabia kwa mwanamume ni kama halipo.mi nashauri wanawake wasisitize sana matumizi ya condoms kwa waume zao pindi wanapotembea nje
wos na imani umeolewa ningependa kujua ni njia gani unatumia na shemeji yetu hasa nikikumbuka maandiko yameandikwa sasa mmekuwa mwili mmoja...
Je ni sababu ipi imekufanya na mzee mtumie condoms
1.kujikinga na ukimwi?
2.uzazi wa mpango ama..?
Au
hapo mama unatupeleka porini.........
NA HAPA WEWE UMETUPELEKA KWENYE CHAKA?festiledi wani sikia,
tuwe wakweli na tuende straight to the material facts..........
swala la kubadili tabia kwa mwanamume ni kama halipo.mi nashauri wanawake wasisitize sana matumizi ya condoms kwa waume zao pindi wanapotembea nje
Mdada kweli umenena but mbona tumeshaimbiwa sana kuhusu kubadili tabia imeshindikana? Kina Tacaids na NACP weshaimba saana lakini bado suala la uaminifu limegonga ukuta watu siku hizi hawamwogopi hata Mungu yaani ni maovu kwa kwenda mbele!!
So ndoa za mkataba bado zinaweza zisiwe suluhisho katika hili........... tumeirule out
2. Kuhimiza utumiaji wa kinga kati ya wana ndoa/wapenzi (at least wengi wetu tunaiunga mkono) but je inawezekana?
festiledi wani sikia,
tuwe wakweli na tuende straight to the material facts..........
swala la kubadili tabia kwa mwanamume ni kama halipo.mi nashauri wanawake wasisitize sana matumizi ya condoms kwa waume zao pindi wanapotembea nje
Najaribu kuangalia maongezi ya Geoff na Wife wake mama Manka ...
*mme wangu mpendwa nina maongezi na wewe leo
*Hakuna shida wife maongezi gani tena mama Manka?
*mme wangu ni maongezi ya kawaida tu kuhusu future yetu
Ok wife ndio hapo nakupenda nahisi ni swala la ujasiriamali eeh?
No Baba Manka sio hivyo ni kuhusiana na huu ugonjwa mpya wa kisasa..Juliana ,Ukimwi,Aids au jina mtaani Ngoma
Mme wangu sijui unaonaje kama tukianza kutumia protection ila tuepukane na maambukizi ya hili Gonjwa la Ukimwi pia kusaidia uzazi wa mpango..
ooh kwa hiyo huniamini mama Manka swala la uzazi wa mpango tulishaongelea na sasa si unatumia nanihii...au??
No si hivyo Dear unajua sisi ni Binadamu tunaweza kujikwaa na kuteleza
Oooh ok kumbe wewe huwa unajikwaa na kuteleza eeeh au unamaanisha nini??
Kwanza haya maneno umetoa wapi we mwanamke ?
Ina maana huniamini eeeh .......?
Ni nani huyo anayekuzuzua mpaka leo uanze kuniambia kutumia Condoms mie ?
Mke wangu ndio maana tabia yako imebadirika kumbe umeshaanza mambo yako..
Kwa hasira baba manka anaenda kuchukua therengeti therengeti kwenye Fridge na kuacha issue ikiwa Pending
:gossip:
Good one LAdy hhahaNajaribu kuangalia maongezi ya Geoff na Wife wake mama Manka ...

YAANI NDANI YA NDOA NITUMIE KONDOM?SAWA GEOF...nimeshauri matumizi ya kinga ika nongwa kuwa nawapeleka porini
NA HAPA WEWE UMETUPELEKA KWANYE CHAKA?
Hebu tuwe wakweli jamani!
hamtahitaji kids?labda kwa vile ni mkataba unamwambia mheshiwa kuanzi mwanzo wa mkataba mpaka mwisho wa mkataba tutatumia Condoms ..kimaandishi:rofl:
YAANI NDANI YA NDOA NITUMIE KONDOM?
na nikitoka nje ya ndoa nifanyeje?
Renegade,
Gone are the days when we were shy about HIV/AIDS facts.... sasa hivi ni ulimwengu mwingine wa kujadiLI kwa ukweli NA UWAZI bila unafiki.
Ni UCHAGUZI NA UAMUZI wa mtu binafsi na wala siyo lazima.Fikiria yafuatayo:
1. Maambukizi mengi zaidi au kitakwimu wanandoa ndio wanaoongoza kwa maambukizi ya UKIMWI
2.Wanandoa hawako immune kuambukizwa ati kwa vile wana leseni ya kujamiiana!
3. Wanadoa wako vulnerable to infidelity maana kwa kuoana hawapotezi ubinadamu wao ( udhaifu n.k.)
4. Kama wanandoa hawako waaminifu chances are kosa la mmojawapo ni hatari kwa mwingine aliye innocent.
5. Kwamba wana ndoa wanahitaji kuzaa si hoja ya kuambukizana UKIMWI
6. Kufuatana na sheria ya HAPCAT 2008 ( HIV/AIDS -( Prevention and Control Act) Kumwambukiza mwingine kwa makusudi ni kosa la jinai! Pia sheria hii inatutaka kila mmoja awe responsible kujilinda dhidi ya maambukizi.
7. Kuzaa ni jambo jema.Je wewe mwenye ndoa unapima kabla ya kutafuta mtoto? Kama jibu ni hapana, ukizaa mtoto mwenye maambukizi huoni unamkosea sana huyo mwanao? Kama utazaa na kuhakikisha unafuata PMTCT ( kuzuia maambukizi kutoka mama kwenda kwa mtoto)- je huoni ni busara uendelee kujikinga ili uishi maisha marefu umtunze mwanao? Kumbuka ngono isiyo na kinga baina ya wanandoa pia ni hatari hata kama wote mmeambukizwa tayari!
HIVYO NDUGU ZANGU, BILA KUTAKA YA UNDANI ZAIDI - JIKINGENI!