Belleringal
Member
- May 25, 2020
- 83
- 155
- Thread starter
-
- #61
Salute kwenu makamanda, ila nawasema tu kidogo hapa.
Mdada hao watu ni mal aya ova. wanakuwaga na wanawake wengi hatari.
Kuna mmoja alinitokelezea, yaani hata hatujafikia muafaka, keshanichanganya, mara nimekuona kituoni mara nilikuona na chupa ya chai hosp.
Eee Mungu nilimkimbia, (hakunila maana hamchelewi)
Dada ushukuru tu hao ni wao kwa wao wakishindwana ni wanajuana.
Heshima kubwa sana kwenu walinzi wa Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Asante sana
Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"
Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.
I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.
Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
Vipi sisi "Walugaluga" tuna nafasi hapo?Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"
Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.
I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.
Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
Lengo la thread ,tujadili nini?Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"
Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.
I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.
Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
Wanachojadili wenzioLengo la thread ,tujadili nini?
Unamjua unaempenda lakini hujui anaekupenda.Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"
Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.
I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.
Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
Habari za sikuI love u