Belleringal
Member
- May 25, 2020
- 83
- 155
Thank youLabda yuko bize na kujifunza kutegua mizinga, pia nimefurahi umesema si,mwanajeshi wa kwanza kuwa naye kumbe una uzoefu,nao. Pole sana na tafakari wapi unakosea tafuta aliye sahihi maisha yaendelee. Good lucky
ππHapanaInaelekea unawapenda amsha popo
Ss hua inatokea bahati au?! Maana wale bwana hapana kabisa[emoji23][emoji23]Hapana
Ana nyota ya "nyota"Inaelekea unawapenda amsha popo
ππDah ngoj nilaleSs hua inatokea bahati au?! Maana wale bwana hapana kabisa
Pumzika [emoji38][emoji23][emoji23]Dah ngoj nilale
Ananyota ya mabaka kupendwa na amsha popo[emoji847]Ana nyota ya "nyota"
Hello my sweet girl..?Inaelekea unawapenda amsha popo
Dah πππ hio nyota nahisi kweliAnanyota ya mabaka kupendwa na amsha popo[emoji847]
Ah wapiSio wote wenye tabia izo
Huamin auAh wapi