kitororondo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 597
- 716
- Thread starter
- #41
Kumuacha mpaka awe tayari yeye ndio itakuwa rahisi zaidi au wewdm uhame mtaa huo nje ya hapo tusubiri hitimisho baya lenye kumbu kumbu mbaya kama uzima utakuwepoKuna siku nili mwambia kuanzia leo mimi na wewe basii ebwana. Sitakaa nirudieee maana alienda hadi kwa jamaa yangu ambauye haja wahii kuongea naeee akamchana livd kuwa jamaa anataka kuniachaa. Sikujua nini kinaendelea ila asubuhii nashangaa naitwa kwnda namkuta yile manzii analia kama mtoto. Sema sasa mimi jiwa machozi haya nitishii, nikaongea nika mwambia tuta piga story wawili tu ila sio mbele ya kada mnasi.
Hapa nawaza jinsi ya kumuachaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app