Kwa mbaaalii Naona kama unafaa kuwa Karibu na Mimi.. Nikiwa kwenye Mishe za pesa hata unipigie na kunambia upo kwangu Aisee Hutaniona kabisaaWakati mwingine unakua unampenda.......lakini simu kila saa kila saa......kwa kweli mimi inanipotezea mood......tena hasa pale ninapokua nafukuzia moto........inanikata stim.......sipendi......
naanza kupata picha kwanini huwa cmu Yangu Haipokewi kwa Wakati
vibaya mno kuna mtu ananisumbua sana kwa sababu sijamgegeda tu basi
Mkuu hebu do ze nidiful
tihi...huwezi kukosekana kwenye orodha ya mandingo wewe ila siwezi kukutajia sifa zao maana mandingo wa mmoja ni mstaarabu wa mwingine. Si unaona wengine hawapigiwi simu wala kutekstiwa siku 2 na wameridhika wakati kwangu huo ni umandingo?! Usinipigie simu siku 2 nitakuvumilia kama ni occasionaly lakini si kila siku we uko busy na the so called kazi. Kazi, kazi, kazi kila siku kwani mnaninhii???Hawa wakoje?? Nisije kwa mmoja wao!!!
jinsia mbona haihusiki hapa ndugu? Hili ni kwa wote
naanza kupata picha kwanini huwa cmu Yangu Haipokewi kwa Wakati
mdomo unatamka lakini Moyo Unajua Ukweli... Hakika najisikia fahari sana
Ahsante Mkuu!jaribu kumwambia mjukuu wako Abadilike basiPole kijana....
Naanzaje kupokea simu zisizo na tija?
tihi...huwezi kukosekana kwenye orodha ya mandingo wewe ila siwezi kukutajia sifa zao maana mandingo wa mmoja ni mstaarabu wa mwingine. Si unaona wengine hawapigiwi simu wala kutekstiwa siku 2 na wameridhika wakati kwangu huo ni umandingo?! Usinipigie simu siku 2 nitakuvumilia kama ni occasionaly lakini si kila siku we uko busy na the so called kazi. Kazi, kazi, kazi kila siku kwani mnaninhii???
khaa!! hapa ndo ntaambiwa "wanawake sijui mnataka nini!". text na simu zote hizo za nini? Moderate ndo mpango mzima. Ila kama nina tatizo la kuharisha na kutapika hizo 20 na 10 zinaweza kukubalika maana unafatilia hali ya mgonjwa. Hivi hivi tu mahaba yanageuka kuwa kero.Mimi kwa siku txt si chini ya 20!!!! Simu kama kumi hivi......!!!
Mimi kwa siku txt si chini ya 20!!!! Simu kama kumi hivi......!!!
Napenda mwanaume anayejali kila anapopata muda ananijulia hali ananiuliza umekula? Umevaaje,unafanya nn, umeshindaje yaani ni raha ila ndo mpaka umpate
Mmmmmh!!!
"Mawasiliano" kitu muhimu sanaaa katika "mahusiano"
Wapi? Afu unaniita kijeshi duh hata hunibembelezi?tehNjoo.....