Mahusiano na mawasiliano

Mnayazungumzia mapenzi haya yanayoniliza kila siku
Nimpigie simu huyu anaenifanya nitoe machozi kila nikimkumbuka au kunamwingine

Yupo ambae hatakuliza....kila siku atakupa tabasamu na kusahau machungu yote ya dunia...usikate tamaa.
 
Hata kwenye uboyfriend na ugirlfriend mawasiliano ni muhimu mnoooo, na kwa hili mie huwa sina excuse.

Sio wewe tu pacha,nahisi wengi hawana excuse. Ila inakuwa tatizo zaidi mkiwa 'wachumba'..ati siku mbili? Duh..
 
Na hicho ndicho nilichokuwa naongelea, na ukishaona tu mtu anasuasua kwenye suala zima la mawasiliano basi ujue hamna kitu hapo, unakinga upepo tu. Eti mtu 2,3,4 days usipoanza kumtafuta wewe basi siku zinapita tuuuuuu!! Mfyuuuu!

Cc Mentor

Received...!

 
Mi nishalikataa hilo la simu za kila mara, mie ni simu moja tu au tatu kwa siku
 
Ila saa zingine simu zinaudhi sana. Mie ikifika saa 12 naizima naiwasha asubuhi

Kweli zipo simu zinazoudhi..ila ipo ile moja ambayo ikiingia tu nafsi inasuuzika.
 
Napenda mwanaume anayejali kila anapopata muda ananijulia hali ananiuliza umekula? Umevaaje,unafanya nn, umeshindaje yaani ni raha ila ndo mpaka umpate
 
Atoto Jifunze Kupitia Uzi Huu Maana Unapitishaga hata wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…