Mahusiano na mawasiliano

Hizo kero za kawaida sana. Wengine ishakua kawaisa. Unavumilia tu.
 
Simu lazma tupigiane tu hata kama hutaki na nikiona unaanza kunipumzikia tu(nakupigia mimi tu we hujiongezi kupiga),nakunyoosha hata week nzima huoni text yangu wala missed call.Day 3 utaanza kilio mpk zikitimia 7 umenyooka ndio sasa nakupa darasa tuna refresh upya!
 

Sounds like someone i know lol.
Ila inafika mahali unazoea tu nakujikuta unakua kama yeye.
It hurt though
 
Kwangu ni kero kama am not into you, ila kama nakupenda napenda mnooooo.

Wakati mwingine unakua unampenda.......lakini simu kila saa kila saa......kwa kweli mimi inanipotezea mood......tena hasa pale ninapokua nafukuzia moto........inanikata stim.......sipendi......
 
Wakati mwingine unakua unampenda.......lakini simu kila saa kila saa......kwa kweli mimi inanipotezea mood......tena hasa pale ninapokua nafukuzia moto........inanikata stim.......sipendi......

Not kila saa simu, ila ile unapitisha siku haujamtafuta mtu kabisaaa alafu unasema unampenda kweli??
 
Kupitisha siku hapana........hiyo ni too much......ila kwa mtu wako anajua muda sahihi.......

Na hicho ndicho nilichokuwa naongelea, na ukishaona tu mtu anasuasua kwenye suala zima la mawasiliano basi ujue hamna kitu hapo, unakinga upepo tu. Eti mtu 2,3,4 days usipoanza kumtafuta wewe basi siku zinapita tuuuuuu!! Mfyuuuu!

Cc Mentor
 
Last edited by a moderator:
Mi ukijifanya busy na mi ndo ntakua busy Mara miaaaaaa, ntakunyoosha mpaka ujuteeeee
 
kasumba au imani ni kitu kizuri sana aisee. hii angefanya mswahili angeonekana hana mapenzi, ana mchepuko hajali sijui nini kwa sababu ni mweusi, ila akifanya mzungu ni uzungu - ndivyo walivyo - kumbe kuna wazungu wengi tu wanaojali mawasiliano na wapenzi wao na hupiga simu au kutext mara kadhaa kwa siku. kama kuna mzungu workerholic basi hata mswahili anaweza kuwa workaholic. Sisi wote ni sawa na mahitaji yetu ya kupendwa yako sawa bila kujali rangi zetu. kuna wazungu wenye michepuko, kuna wazungu walevi, kuna wazungu mabondaji, watukanaji kama kulivyo na waswahili wastaarabu na waswahili mandingo.
 

Hawa wakoje?? Nisije kwa mmoja wao!!!
 
Mnayazungumzia mapenzi haya yanayoniliza kila siku
Nimpigie simu huyu anaenifanya nitoe machozi kila nikimkumbuka au kunamwingine
 
Yap, hii muhimu, si unajua tena hawa ndugu zetu ni km watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…