Mahusiano na maisha ya Ughaibuni

Tupo tunaojitambua nyie mnahangaika na instagram wanawake wanaojielewa hawako huko mkuu
Isemee nafsi yako ila wengine mhh!,hakuna bin adam asiekuwa na mapungufu ila baadhi ya kina dada ni mtihani kwakweli
 
Kwema lkn! Uje basi unitembelee huku unakokuita ughaibuni labda nitaijua hiyo child support kupitia wewe
Nilivyokuwa nausubiri mwaliko kwa hamu!!! Nitumie nauli basi.
 
hiki ndicho ulichopitia nini mkuu maana umeongea kwa uchungu kweli
 
hiki ndicho ulichopitia nini mkuu maana umeongea kwa uchungu kweli
Ndiyo ninayoyapitia kwa mwanamke raia wa Marekani (aliolewa huko) ila anaishi kikazi South Africa na chimbuko lake (mababu zake Botswana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…