Mahusiano mapya na vijimambo

NITIKE NDOSI

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
153
Reaction score
86
ukitoka nae ;
HATA NUSU GLASS YA JUICE HAMALIZI.........!
MSOSI ANAONJA ONJA TUU..............!
UTASIKIA ANASEMA ''nimewahi kuwa na mwanaume mmoja tu nae nilimwacha kwa kuwa hakuwa mwaminifu'' hapa najua
hawezi kusema hajawahi kuwa na m2 si anajua utaona..........!
Mweke ndani sasa uone mziki wake !!!!!!!!!!
wanakula hao!!!!!!!!!!!!!!??
 
Pesa bandia hela bandia. Mbona na nyie mnakujaga na story mob. Ooh mie sijui kufanyaje kufanyaje? Mnapiga stori za masaki hamuongelei kwenu kwa mtogole.

Vumilia kaka ndo ukubwa!
 
Pesa bandia hela bandia. Mbona na nyie mnakujaga na story mob. Ooh mie sijui kufanyaje kufanyaje? Mnapiga stori za masaki hamuongelei kwenu kwa mtogole.

Vumilia kaka ndo ukubwa!

he he he mambo ya "hi daddy" "hi mummy"
kumbe shkamoo baba!!!!!!!
 
Utoto tu, ukikua utaacha, first date utakula na kuongeza chakula bila kufanya ajizi. Pia ukiamua waweza kulipia chumba hotelini kwa ajili ya mapumziko ya usiku huo
 
NDO MAANA...........! KING'ASTI unanikumbusha story ya mzungu aliyelala na barmed,ili kumkomoa akampa dolar 100 fake alafu yeye akaambulia GONOLEA
Pesa bandia hela bandia. Mbona na nyie mnakujaga na story mob. Ooh mie sijui kufanyaje kufanyaje? Mnapiga stori za masaki hamuongelei kwenu kwa mtogole.

Vumilia kaka ndo ukubwa!
 
Sasa kama chakula kimekuja kibaya nimalize tu?
Leta ugali maini na mtindi au ugali samaki uone mziki wake first date tu.

Ukileta viepe sili
 
Eeeeh ! he! heeeee!!!! kwa kweli umenifanya niongeze siku za kuishi kwa kucheka......duh! nimejitahidi kukimbia naona bado uko nyuma. mhuuu naomba uniachie basi!

Sikuachi hadi uthibitishe usemacho....
mi siku nimekutana na beb wangu, nilikula bonge la ugali na ile juisi ya azam nusu ya box....
mayai matatu, chapati 3 vitu vya kawaida tu hivi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…