Mahusiano kwenye Daladala

Mahusiano kwenye Daladala

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Kuna watu wengi wamekuwa wapenzi lakini mapenzi yao yalianzia kwenye daladala je wana Jf wangapi wamefanikiwa na mpaka sasa mambo yao yako safi, na wagegedaji mmegegeda wangapi kwa kuwapatia ndani ya Daladala
 
Upo kwenye research ndugu .............?:A S-key:
Ngoja madereva na makonda wa dala dala waje ............!
 
Mbona mi na wewe tulikutana kwenye daladala na penzi letu linastawi kila siku

kama mchicha halaf hujamwambia mtoa mada
 
Nimeiondoa kuweka hali ya amani
sikuwa na nia ya kuumiza hisia za yeyote
ulemavu ni hali tuu na inaweza kumkuta yeyote
lakini jamaa katika ile stori hakuwa kajiandaa kukabiliana na hali hiyo
ndo maana alikosa raha ghafla
but all was about kumpa somo mtoa mada kuhusu mapenzi ya daladala
kwama awe tayari hata kwa asiyotarajia.

asanteni.
 
kuna jamaa alipandia daladala mabibo hostel anaenda DUCE, akakaa siti moja na mdada mrembo sana.
akaanza kupiga sound zake akapewa namba za simu
akashuka DUCE yule mdada anaendelea na safari.
Siku ikafika wakapanga mdada aje hostel kumtembelea jamaa
jamaa nae kwa misifa akawa keshajisifia sana kwa washkaji zake kuhusu huyo mdada alivyo mzuri
dada akafika pale nje ya geti akapiga simu, jamaa akaja na marafiki zake watatu kumpokea mwali
dada likuwa kasimama ameegemea ukuta, wakasalimiana na kumkaribisha mgeni waelekee room(hostel)
Ile wanaanza kutembea wanashangaa mdada kama anaanguka hivi mara anainuka
kumbe mdada ni mlemavu wa mguu mmoja, anatembea anainama kabisa then anainuka, ndo mwendo wake
jamaa akapata aibu sana na washkaji wakaanza kucheka kichini chini jamaa kaopoa mlemavu.
Jamaa aliishiwa confidence kabisa na stori tena kulikuwa hakuna na mdada aligundua ananyanyapaliwa live.
alipoondoka jamaa alichekwa sana na akafuta kabisa namba ya yule dada.
MAPENZI YA DALADALA HAYO....CHUNGA SANA

Usidhani kwamba huyo dada alipenda huo ulemavu. Dharau za kuwapuuza walemavu ni mbaya sana ......!
 
Daladala hapana koz huwa siongei na nisiye mjua sema nikipanda mabasi ya kwenda mkoani ndo huwa napata wachumba mnaongeaaaa mnachekaa njia nzima sehemu ya kula mnabadilishana vyakula mna mkifika mnakoenda kila mtu lwake heheheee haujawahi kudumu hata siku moja
 
Walikuwa hawajielewi hao.......!!!!!?mwendo tu ndo unawafanya waangue kicheko.

mkuu najua we ni msomi, hata hao jamaa zako, kwa hiyo walikuwa wakicheka nn? sory nimekuweka kwny kundi moja na hao jamaa zako, mna umri gani?
 
Kuna watu wengi wamekuwa wapenzi lakini mapenzi yao yalianzia kwenye daladala je wana Jf wangapi wamefanikiwa na mpaka sasa mambo yao yako safi, na wagegedaji mmegegeda wangapi kwa kuwapatia ndani ya Daladala
Lengo la kuuliza swali kama hili ni nini?
 
Kuna watu wengi wamekuwa wapenzi lakini mapenzi yao yalianzia kwenye daladala je wana Jf wangapi wamefanikiwa na mpaka sasa mambo yao yako safi, na wagegedaji mmegegeda wangapi kwa kuwapatia ndani ya Daladala
Wewe upo kwenye ndoa? Kama bado hujaingia kwenye maisha ya ndoa una mahusiano yoyote mpaka sasa?
 
ule msemo wa "Mapenzi huanzia popote"
pengine una ukweli..he he
 
Daladala hapana koz huwa siongei na nisiye mjua sema nikipanda mabasi ya kwenda mkoani ndo huwa napata wachumba mnaongeaaaa mnachekaa njia nzima sehemu ya kula mnabadilishana vyakula mna mkifika mnakoenda kila mtu lwake heheheee haujawahi kudumu hata siku moja

Unakumbuka Kilimanjaro Express?
 
Back
Top Bottom