mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,338
Yaani wasitembelee sehemu takatifu? Au wasiswali?au wasizunguke LKHABA?njia ya kukwepa ibada YA HIJJA ni kutokwenda tu ndy maana hiyo NGUZO ya UISLAM ikawekwa mwisho...kwenda kuhiji MAKKA kwa mwenye UWEZO....si LAZIMA kama huna UWEZO...mgonjwa ...huna PESA,..NKwazee wanaweza kupewa kipaumbele. Mbona hata mahospitalini,benk na sehemu za kawaida wazee,wajawazito na walemavu wanapewa fursa.
yote kwa yote kwa sababu ya mambo ya kiimani hayabishiwi, yote unayosema ni sawa tu sikubishii mkubwa
Mbona jitihada za kuzuia vifo zinafanyika?Hilo ni jambo la Kheir kwasababu wamefia katika mji mtakatifu wakihiji.
Hakika pepo wataiona hao Waumi'ni na tunuku zile watazipata, Inshaallah
Wabillah Tawfiq,
sawa...Yaani wasitembelee sehemu takatifu? Au wasiswali?au wasizunguke LKHABA?njia ya kukwepa ibada YA HIJJA ni kutokwenda tu ndy maana hiyo NGUZO ya UISLAM ikawekwa mwisho...kwenda kuhiji MAKKA kwa mwenye UWEZO....si LAZIMA kama huna UWEZO...mgonjwa ...huna PESA,..NK
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa. shortcut to heaven...Kufia mji mtakatifu wakati wa kuhiji ni thwawabu. Wengine wanaenda kwa ajili ya kujiulia huko
Wakamsalimie mzee wa totoz S.A.W
Mkuu sijamtukana mtu wala dini nimetuma salamu zangu... After all mm niwislamuhakika unaloliongea hulijui, na hujawa na familia, ila naamini usicheke mkunga angali unazaa, familia yako mmoja au wawili watakuja kuwa waislam...
Usiitukane dini ya mwenzako sababu hujui wewe hatima yako,
Sasa kuna taratibu zozote zinafanywa ili kuzuia vikongwe na wagonjwa wasiende huko? Wewe unatamani kufia huko?Tatizo ni kuwa kuna wanaoenda vikongwe, wagonjwa n.k ila wote wanaenda ili hata ikitokea kafa ashaenda kuhiji. Mtu yupo tayari au anatamani afie huko ili awe amekufa katika mji mtakatifu wa MACCA,
Mkuu sijamtukana mtu wala dini nimetuma salamu zangu... After all mm niwislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanamkosoa Allah,Mbona jitihada za kuzuia vifo zinafanyika?
Ntakuja slim sababu ya hao bikra 72Ukiniambia hawa watapewa wale mabikira 72 nitakuelewa, ila sio wale wachinja watu Al shabab na IS
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu hawez kukuelewa atasema ni mpango wa Allahndio maana watu wanasoma Risk and Disaster Management.
kuwa na system ambayo Lazima kila mwaka mtu afe bila kuja na suluhisho la kudumu ktk dunia hii ya kisasa lazima kuwe na shida mahala.
Hayo ni mambo ya kiimani, lkn ingekuwa burudani kama Soccer tayari wadau wangekwishakuja na suluhisho la Kudumu.
Yaani kuna watu wana akili za nyumbu haswa!!!.Hilo ni jambo la Kheir kwasababu wamefia katika mji mtakatifu wakihiji.
Hakika pepo wataiona hao Waumi'ni na tunuku zile watazipata, Inshaallah
Wabillah Tawfiq,
We achana na Allah wetu.Yaani kuna watu wana akili za nyumbu haswa!!!.
Kwa hiyo huyo mungu wenu hana namna nyingine ya kuwachukua zaidi ya kufa mkiwa mnakanyagana kumpiga mawe shetani na kujitoa muhanga huku mkiua wengine?
mungu anaye furahia vifo vya watu wake ni Shetani huyo, shauri yenu!!!
Mkuu, hiyo ndio ibada yenyewe kwa taarifa yako.hivi kwa nini kila mwaka lazima watu wafe?
Hakuna mbinu za ziada kuzuia vifo?
ni bora kungekuwa na watu wachache kuliko kuwa na idadi kubwa ambayo inaweka uhakika wa uwezekano wa watu kufa.