mahubiri ya kimaasai kicheko tupu!

aaaah umenichekesha sana
asante hiyo web nilikuwa siijui
ubarikiwe
 
aaaah umenichekesha sana
asante hiyo web nilikuwa siijui
ubarikiwe
nimebarikiwa tangu nikiwa bado tumboni mwa maman hata hivyo nitakuwa mchoyo nisiposema AHSANTE!
 
Nakushukuru sana japo ulitaka tuone hiyo 99, nitafaidika na yote yaliyomo katika hizo nyimbo za injili sana na Mungu akubariki

Aaaaaaamen!​
 
kuna hiyo sura ya firstlady sijui kama ni yake kweli au laa maana yake ni nzuri kupita kiasi nimeipenda lakini kama naye yuko ivyo moyoni mwake ingependeza zaidi
 
kuna hiyo sura ya firstlady sijui kama ni yake kweli au laa maana yake ni nzuri kupita kiasi nimeipenda lakini kama naye yuko ivyo moyoni mwake ingependeza zaidi
Kaaazi kwelikweli!
 
kuna hiyo sura ya firstlady sijui kama ni yake kweli au laa maana yake ni nzuri kupita kiasi nimeipenda lakini kama naye yuko ivyo moyoni mwake ingependeza zaidi

mzee mbona umetoka nje ya thread?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…