AsanteYes! mpaka tarehe 26.
Karlibu sana mkuu!!!
Mahubiri yanahitaji tafakari. Siyo unahubiriwa Kila Kitu na kukipokea kama mhubiri anavyosema. Utaishia kulishwa falsafa za mahubiri na si neno la Mungu.Mahubiri hayahitaji great thinkers , Mahubiri yanahitaji uje na imani yako tu ubongo uache nyumbani kwanza
Kwa nini yatumike mahubiri na sio lecture?Mahubiri yanahitaji tafakari. Siyo unahubiriwa Kila Kitu na kukipokea kama mhubiri anavyosema. Utaishia kulishwa falsafa za mahubiri na si neno la Mungu.
Yote ni sawa.Kwa nini yatumike mahubiri na sio lecture?
Punda wa baalam aliongea , fimbo ya musa iligeuka nyoka , hapo inahitaji akili? Au haujui matumizi ya akili nini ni bwashee?Yote ni sawa.
Kwani baada ya kuhubiriwa, mhubiri anaifunga akili yako isitafakari?Punda wa baalam aliongea , fimbo ya musa iligeuka nyoka , hapo inahitaji akili? Au haujui matumizi ya akili nini ni bwashee?
Mahubiri hayahitaji akili zaidi ya imani , ukiweka akili kidogo tu hata hautakubali kuhubiriwaKwani baada ya kuhubiriwa, mhubiri anaifunga akili yako isitafakari?
Mahubiri hayahojiwi wakati yanatolewa, lakini baada ya hapo binadamu mwenye akili timamu anapaswa kuchanganua kichwani mwake alichohubiriwa.
Asante mkuu!ILi muendelee kueneza chuki dhidi ya kanisa katoliki na nguruwe.
mashindwa kukemea wapinga kristo wasio mkiri kiristo mnapambana na kanisa lililolinda na kuhifahi historia ya ukristo mnaakili kweli ninyi.
Wasabato mnakazi sana.
Wasabato mnatafunana sana kwenye makambi.Hellow guys!!!
Napenda kuwakaribisha all Great Thinkers, katika mahubiri ya
Mambo Yote MAPYA!
.....TUMAINI LINAANZIA HAPA¡¡¡
Kupitia Hope channel
17:00-18:00.
Thanks.
Nitakuwa nawapa updates hapa
Katoro-Geita!!
Katoro central sda!!! karibu na RC St. Joseph
Injili kampeni yao kuu ni kusuguana tu bwasheeWasabato mnatafunana sana kwenye makambi.
Kwa msabato, mkazo wa kwanza ni kuwa kama waberoya. Waberoya walikuwa watu waliokuwa wakichunguza kile walichofundishwa kama kinaendana na Biblia kweli, au ni mawazo ya mtu tu. Na ukiona msabato kafanya ujinga (kama wale wa kutaka kwenda Israeli kuhubiri bila viza Wala passport) basi ujue akili alimkabidhi mhubiri.Mahubiri hayahitaji akili zaidi ya imani , ukiweka akili kidogo tu hata hautakubali kuhubiriwa
Ongea maneno machache nyenye logic huo utumbo sijasomaKwa msabato, mkazo wa kwanza ni kuwa kama waberoya. Waberoya walikuwa watu waliokuwa wakichunguza kile walichofundishwa kama kinaendana na Biblia kweli, au ni mawazo ya mtu tu. Na ukiona msabato kafanya ujinga (kama wale wa kutaka kwenda Israeli kuhubiri bila viza Wala passport) basi ujue akili alimkabidhi mhubiri.
Kuwajua waberoya soma aya zifuatazo.
Matendo ya Mitume 17:10-11
[10]Mara hao ndugu wakawapeleka Paulo na Sila usiku hata Beroya. Nao walipofika huko wakaingia katika sinagogi la Wayahudi.
[11]Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno kwa uelekevu wa moyo, wakayachunguza maandiko kila siku, waone kwamba mambo hayo ndivyo yalivyo.
Sasa wewe endelea kuhubiriwa na ukubaliane na mhubiri bila kuhunguza kama anachohubiri kinaendana na neno la Mungu tuone unaishia wapi kwenye mambo ya Imani.