Mahsusi Kwako!

Mahsusi Kwako!

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
21,608
Reaction score
42,960
Hii ni mahsusi kwa wale wenzangu na miye wasiojua kufunga tai pamoja na wale wenye wachumba wasiojua kufunga hili vazi la shingoni.

Kufunga Tai.jpg



Kama hamjaelewa angalieni hii video

 
Last edited by a moderator:
Duh, Umenisaidia sana....!!!, yaani ninashaindwa kuvaa tai kwa kuwa sina jirani anayejua kufunga tai.
 
Hii kitu kila siku nasahau,ngoja nijifunze.Ahsante sana kwa kuleta hii kitu humu
 
Big up mkuu, somo zuri. Uje basi na jinsi ya kufunga na kuvaa vingine pia.
 
watu kama nyie ndio tunawahitaji, "very infomative"ukipata nyingine ya style tofauti tujuze maana kuna british, etc more than five styles.
 
safi mkuu nimemuonyesha mke wangu kachekelea huyoo maan mimi sijui na yeye alikuwa hajui...dah safi sana...shukrani mkuu...
 
Back
Top Bottom