Nipo kikazi katika mkoa mmojawapo kaskazini ya Tanzania, kwakuwa nyumba niliyopewa kuishi ni kubwa, imenibidi nitafute msaidizi wa kazi za nyumbani.
Nimepata msichana ana wiki ya 2 sasa tangu aanze kazi lakini naona ananiingiza majaribuni!
Bahada ya kumuonyesha sehemu ya kulala, akaogopa na isitoshe akadai kuna baridi sana ni bora aje alale sebureni kwangu. Alivyolala sebureni kufika usiku akasaula nguo zote eti kuna joto sana!
Mbaya zaidi tangu majuzi nimebanwa na malaria, ndio kakomaa chumbani eti anamuuguza mgonjwa! Sasa hizo touching! unajisikiaje mara unapimwa joto la mwili kifuani, mara kwenye garden love kunapapaswa.
Huyu si anataka ukimuacha akawatangazie watu jamaa si rizki?
Ni njia kupita kwenda toilet chumba changu sio master.
Naona kama hadithi vile
Uzi kama huu usitarajie wanawake watakusifu, watakushambulia mpaka ujute.................................!
Ulitakiwa uyaalize kimya kimya kisha uje usimulie hapa kwamba Ibilisi alikuingia ndo ukafanya huo ******, tena ukitaka uonewe huruma, inabidi hilo tendo uliite majina yote mabaya na uoneshe hisia za kujutia kile ulichokifanya...........
Hodi ya chooni haiitikiwi karibu (Source, Asprin)
Nilikuwa natania tu bana...................... Mie nishakuwa mtu mzima sasa nawaachia vijana waselebuke!Mtambuzi balaa wewe! Kuanzia sasa nitaanza kusoma story zako with a third eye. Du, kumbe kujifanya unajuta kote ni kukwepa madongo na kutafuta sympathy. My conclussion sasa ni kuwa hizo story zako they r never that old, the oldest must be just one month!
Mimi naona hapo wewe scofied ushapona mgonjwa gani anapimwa homa anasisimka? :lol:
Mtambuzi balaa wewe! Kuanzia sasa nitaanza kusoma story zako with a third eye. Du, kumbe kujifanya unajuta kote ni kukwepa madongo na kutafuta sympathy. My conclussion sasa ni kuwa hizo story zako they r never that old, the oldest must be just one month!
Acha kunisingizia ya wallet ilikuwa ya zamani bana..........................Umeona ee? Iam shocked! Zitakuwa very current! Especially ya wallet lol. . Labda ya housegirl with the mention of the name kizota nilishasau kabisa. . May b! But hizi zingine mtambuzi we mkali! Halafu Michael tu update hii yakwako imeishia wapi umevishinda vishawishi?
Twande umenifanya nicheke! mpaka basi, ngoja tubaki na ya mkuu Mtambuzi yangu nitaitolea majibu siku ingine.Umeona ee? Iam shocked! Zitakuwa very current! Especially ya wallet lol. . Labda ya housegirl with the mention of the name kizota nilishasau kabisa. . May b! But hizi zingine mtambuzi we mkali! Halafu Michael tu update hii yakwako imeishia wapi umevishinda vishawishi?
Jibu liko juu.Bado hujala zigo tu??
Twande umenifanya nicheke! mpaka basi, ngoja tubaki na ya mkuu Mtambuzi yangu nitaitolea majibu siku ingine.
Jibu liko juu.