SYMBOLOGIST
Member
- Apr 10, 2014
- 72
- 32
sisi ni waafrika na hatuwez kuwa wazungu..tuna namna yetu ya kufanya mambo na tunajivunia..makocha wetu wana jinsi ya kuelezea wapinzan na mechi...sio tatizo kama namna wanavyofanya haifanan na watu wa ulaya!!!..