Mahojiano ya polisi na raia

Mahojiano ya polisi na raia

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,438
Reaction score
3,951
ilikuwa hivi

Polisi: Jafari tumekuita ili tukuhoji kuhusu mali zako je uko tayari tuchukue maelezo

Jafari: Ndio niko tayari

Polisi: Hizi mali ulizipataje maana kipato chako halali hakiendani na mali ulizonazo au unazo miliki

Jafari: Afande nilipokuwa fukara na maskini hamjaniita nije kuhojiwa kuhusu hali yangu ya uchumu kuwa duni.

Polisi: Jafari usinipangie maneno ya kukuuliza, jibu kile ambacho ninacho kuuliza hapa

Jafari: Sawa afande mimi kusema ukweli kabisa ni kwamba mali ninazo miliki huletewa na majini, kila siku usiku lazima majini yaniletee fedha kiasi kikubwa hivyo huamua kujiendeleza na kufungua miradi kama uliziona.

Polisi: Jafari usitutanie 😱😱😳😳🙄🙄

ITAENDELEA.....
 
Mganga wa kienyeji kwani wewe mkuu, nianzie hapo.. Tupate kufahamu
 
Back
Top Bottom