Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

nimeisikia lema anamwandama mama Ndalichako, ebu ngoja tuthrow back kidogo
 
nimeisikia lema anamwandama mama Ndalichako, ebu ngoja tuthrow back kidogo

..ni tatizo la kutojiongeza tu.

..mtu ana PhD na ni mhadhiri wa chuo kikuu kwanini asijipige msasa ktk lugha?

..mtu wa namna hiyo anachangamana vipi na wasomi na taasisi rafiki na chuo chetu kikuu?
 
Back
Top Bottom