Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

Lema kazingua sana. At least Msigwa anaeleweka ingawa anatumia maeneo ya kawaida sana katika kingereza.

Utaona tofauti kubwa sana kati ya mtangazaji na hao ndugu zetu katika hiyo interview.
Ili ueleweke unatakiwa utumie maneno yasiyo ya kawaida sana?
Nini cha muhimu kwenye interview? Kueleweka au vocabulary ngumu?
I beg to differ
 
Huyu mtangazaji anajua kazi yake kawabana akina Lema na Msigwa wanajikanyaga hadi basi

Huyu mtangazaji anajua kazi yake kawabana akina Lema na Msigwa wanajikanyaga hadi basi

Mungu ni mwema Na hadhihakiwi, wewe ni miongoni mwa mliotoa ushauri wa kuuawa kwa Lissu lakini Mungu amempigania. Nakuhakikishia kabla ya utungu wa jua wewe Na vizazi vyenu mtayalipia haya.
 
Kwani kujua kiingereza ndio kuwa msomi ? Mimi nilifikiri ungekazia kujua lugha ya taifa kiswahili vizuri. Kina Putin na raisi kabisa na huenda hawajui hao pia utawaongeleaje ? Ebu acha fikra za kitumwa !
 
kujua kingereza siyo usomi nakubaliana na wewe lakini ulishaona simu au ipad yenye maelekezo ya Kiswahili.
 
lema alikuwa busyyyy anaangalia miguu ya sistadu wa kikenya kumungunya kwingiiiiiiiiii points hakuna yani bora wangefanya moja ya Kiswahili tu, KTN wanapima ujinga wa wapinzani kama unakua au unapungua.
 
Duuuuh actually there are things like these you cannot talk easly like *dictator uchwara* how can you?
 
Mahojiano ya Lema na Msigwa ndani ya KTN, nadhani Lema na Msigwa walikuwa wana mambo mengi ya kuiambia dunia lakini ukosefu wa maneno kadhaa ya kiiengereza kumewaficha sana.

Mfano neno dictator uchwara ukiliongea kwa kiingereza linapoteza uzito.

Lema kaongea 'actually' mara 83 kwnye interview ya dk 24.

Tunapotaka kuongelea kiingereza cha Rais inabidi tuangalie kwanza wapi tumekanyaga.

Masikini Msigwa na Lema wanaongea kiingereza kama wana debate kutumia kiingereza katika shule za msingi za vijijini. Nina omba serikali ipitishe sheria - kwa viongozi wote wa umma kutotumia lugha ya kiingereza kama unaongea na media za nje au unahutubia watu nje ya nchi hasa shughuli inayo husiana na taifa kama wewe ni mtanzania (Raisi, Mawaziri, Makatibu, Wabunge n.k.) Na hii sheria ni kwa yeyote uwe unakijua kiingereza kukiongea kwa ufasaha au la. Nasema hivi, kwasababu kama hizi zilizo wakuta hawa wabunge wetu. Ni aibu! Ni aibu kweli kweli. Tunawajua hawa wabunge wetu kwamba wanauwezo mkubwa sana wa kujieleza kwa kiswahili (ni wabunge machachali). Wakiongea kwa kiswahili unapenda waeendelee hata kama haukubaliani nao kiitikadi-kila neno wanalo lisema linakuwa na mshindo mkubwa, lakini hii aibu waliyo ichuma; mtu anaweza akafikiri ni wabunge feki! Nafikiri wakenya hawaamini kama hawa ni wabunge kweli.

Nchi nyingi zinatumia lugha zao kwa nini tulazimishe mpaka tuaibishe hivi?
Mimi sijawahi kujisikia vizuri na kuipenda nchi yangu kama siku ile yule mchezaji wa Taifa Stars alivyo ulizwa na mtangazaji South Africa kwa kiingereza akajibu kwa kiswahili! Naomba siku kama hizo ziwe nyingi. Tuikuze Ligha yetu, pia tuongeze ajira kwa wakalimani, wageni watakipenda kiswahili. Kwa mfano, Afrika ya kusini watu wengi walishaanza kujifunza kiswahili (through internet) ili wafuatilie video za sinema za Tanzania za kiswahili wakati Bongo muvi iko kileleni.
 
Mahojiano ya Lema na Msigwa ndani ya KTN, nadhani Lema na Msigwa walikuwa wana mambo mengi ya kuiambia dunia lakini ukosefu wa maneno kadhaa ya kiiengereza kumewaficha sana.

Mfano neno dictator uchwara ukiliongea kwa kiingereza linapoteza uzito.

Lema kaongea 'actually' mara 83 kwnye interview ya dk 24.

Tunapotaka kuongelea kiingereza cha Rais inabidi tuangalie kwanza wapi tumekanyaga.

English needs practise,thats is actual problem,its like soccer or marathon.
 
Hahahaaa welp, kama tunawalinganisha hao wawili basi hutopata ubishi toka kwangu maana hata cha Lema kipo bora zaidi kuliko cha mkulu.

Kingereza cha Lema ni hovyo sana, siotu lafudhi. Kingereza cha Lema ni Kingereza cha mtaani.

Mfano: Lema anasema "Yeah, Yeah, this is crime organized" ???

Kwa sisi tuliowekwa chini na kufunzwa Lugha ya Malkia Darasani na Waindi na Wazungu ukoTabora, Lububu St Francis de Sales hii ya Lema "Yeah, Yeah, this is crime organized" ni makosa makubwa ya "Grammar, Parts of Speech" ni watu tu wa mtaani huwa hawazingatii hili na bila kuzingatia hili nilazima utavunja miikoya Lugha ya Kiingereza sana kama Lema.

"Yeah, Yeah, this is crime organized"

"Organized crime" Adjective--organized inatangulia Noun---crime, always.

Pia Lema anasema na kusisitiza "its critical very dangerous" dah! palepale, kamahukujifunza parts of speech darasani vyeam ni ngumu kuongea or kuandika vizuri.

Words: "critical na dangerous" yote ni Adjectives na word "very" ni adverb" yeye kaanza "adjective "critical" the Adverb "very" then Adjective "dangerous" ilikua ni simple "very critical or very dangerous"

Aisee, jamaa nimweupe sana sio kwakua hajui Kingereza bali hajielewi kwa mahalahalipo anaitaji aanze UPYA, MOJA! maana ndio parts of speech zilipo. Dah!

kama ni mimi nilazima nirudi class!
 
Kingereza cha Lema ni hovyo sana, siotu lafudhi. Kingereza cha Lema ni Kingereza cha mtaani.

Mfano: Lema anasema "Yeah, Yeah, this is crime organized" ???

Kwa sisi tuliowekwa chini na kufunzw Lugha ya Malkia Darasani na Waindi na Wazungu ukoTabora, Lububu St Francis de Sales hii ya Lema "Yeah, Yeah, this is crime organized" ni makosa makubwa ya "Grammar, Parts of Speech" ni watu tu wa mtaani huwa hawazingatii hili na bila kuzingatia hili nilazima utavunja miikoya Lugha ya Kiingereza sana kama Lema.

"Yeah, Yeah, this is crime organized"

"Organized crime" Adjective--organized inatangulia Noun---crime, always.

Pia Lema anasema na kusisitiza "its critical very dangerous" dah! palepale, kamahukujifunza parts of speech darasani vyeam ni ngumu kuongea or kuandika vizuri.

Words: "critical na dangerous" yote ni Adjectives na word "very" ni adverb" yeye kaanza "adjective "critical" the Adverb "very" then Adjective "dangerous" ilikua ni simple "very critical or very dangerous"

Aisee, jamaa nimweupe sana sio kwakua hajui Kingereza bali hajielewi kwa mahalahalipo anaitaji aanze UPYA, MOJA! maana ndio parts of speech zilipo. Dah!

kama ni mimi nilazima nirudi class!

Naona umeamua kuchambua kwa kina.

Hakika muda unao.
 
Nashangaa sana mnapomhukumu Lema mchaga wa Machame au Msigwa Mnyalu wa Iringa ambao wanaishi Tanzania ya waswahili ilhali mnashindwa kumshangaa Wenger,Mourinho na wengine wengi wanaoishi pale pale Uingereza tena kwa muda mrefu tu na bado kiingereza hawakiwezi...kwani kuzungumza kiingereza kwa ufasaha na kufikisha ujumbe kwa lugha ya kiungereza ni lipi muhimu zaidi?Mfano wangeongea kwa ufasaha wangeongezewa daraja toka ubunge na kuwa marais?Halafu utakuta hata mnaowadharau hao jamaa kwa kutokuongea kuingereza kizuri ninyi hata kutamka sentensi moja tu ya kiingereza hamuwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeamua kuchambua kwa kina.

Hakika muda unao.

huwezi amini nipo kazini na nipo bize but imenibidi.

Mimi hawa CHADEMA siwapendi mno, sana. Maana wafuwasi wao humu wanaongea mno na kuponda mno wakati kumbe watu wao ni HOHEHAHE wakutupa.

Haki ya Mungu mimisiwezi ongozwa na watu wa dizain ya kina Lema, Mwesigwa. Shule ndogo sana!
 
Back
Top Bottom