Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Akihojiwa kipindi cha FNL mwanadada Ray C anadai madawa ya kulevya yalikuwa yamtoe uhai, pia ametoa ushauri kuwa waathirika wasifungwe kwa kuwa kuwafunga hakuwasaidii bure na kupendekeza serikali ianzishe vituo vya Rehab vingi ambavyo waathirika watakuwa wakitibiwa burekwa kuwa sasa wengi wanafia mtaani kwa kushindwa kumudu gharama,