SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Tupo bize na Askofu chekibobu mpigaji
Kwani amekuja kukuonyeshea kwenu?au wewe ulipoona uzi unamuhusu ukaja mbio na kiherehere chako cha umbea?Hizi figisufigisu za huyu dada mi nishazichoka. akipata bwana akae kimya, maana naona kama wanaonyesheana kwamba ukiniacha basi napata mwingine next level
Teh..! Watu mna maneno.Kwani amekuja kukuonyeshea kwenu?au wewe ulipoona uzi unamuhusu ukaja mbio na kiherehere chako cha umbea?