Mahojiano: Mimi na demu wangu

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Demu; Baby nikuulize kitu?

Young Sharo; Yes niulize wangu.

Demu; ivi kati ya Mimi, na hiyo timu yako ya Barcelona kipi unakipenda zaidi?

Young Sharo; Barcelona.

Demu; Kwanini?

Young Sharo; Kwasababu we huwezi kupiga faulo kama messi.

Demu; Kingine?

Young Sharo; Mi nalipia shilingi mia tano kwa wiki wakati wewe kwa siku tu unataka niache elfu kumi.

Nikaona kanaanza kujichekesha chekesha, pumbaavu naamini hakitaniuliza tena maswali ya kijinga.
 
'Cules' ni a.k.a. ya mashabiki wa Barcelona, ambayo tafsiri yake ni makalio. Sikumbuki nilitaka kuiunganisha vipi na post yako, ila niseme tu kuwa unastahili kuwa shabiki wa Barcelona dogo.
 
dah, ivi kama ndo wewe ndo umemdanganya alaf ikawa ivo utafanyaje?
Haya mambo huwa hayapangiki nafikiri akili utaipata hapohapo kwenye tukio, maana!

Hili sio suala jepesi, unaweza poteza mrembo hivihivi.

Maana hata ukijifanya kumchimbia mkwara kwanini na wewe umekuja club?

Bado inakuwa ngumu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…