Mahojiano kamati ya bunge na Makonda

gatekeepertz

Senior Member
Aug 14, 2016
180
236
Mwenyekiti: mheshimiwa makonda aka bashite habari yako.

Bashite: salama tu niambie

Mwenyekiti: tumekuita kujibu tuhuma kwamba unadharau na huheshimu wabunge, wasemaje ?

Bashite: waniheshimu kwanza wao ndipo nami ntafikilia kama kuna umuhimu wakuwaheshimu.

Mjumbe: mbona unajidai?

Bashite. Mzee wangu ni muhimili uliochimbika sana, lazima na watoto wake wapendwa hasa mimi tunathamani kuliko nyinyi.

Mjumbe 2: sijakuelewa,

Bashite: hunielewi maana ni muuza ngada.

Mwenyekiti. Ok mkuu sasa

Bashite, sasa nini hamuwezi fanya lolote. Mkinisumbua napiga simu tuanze uchaguzi upya.

Mjumbe5: vip unamjua mange kimambi?

Bashite: da mange ndio rafiki angu

Mjumbe3: muelezee kidogo

Bashite: mungu anamuona tu we mwache

Mjumbe: mkuu we umepitia jeshi?

Bashite: no ninavijana mzee kanipa

Mwenyekiti: mwisho msalimie mzee mwambie hunakosa uchape kazi, sisi wote tunakupenda.

Bashite: asante mwenyekiti ila kama unajua umeuliza swali kuhusu kimambi, kesho naita vyombo vya habari nakutangaza muuza ngada.
 
Tusipomwandika Makonda sisimizi na mawe wataandika habari zake!
 
Kwani umetunga kwa faida ya nani ndg
 
Ni watu wawili tu wanashindanishwa katika "MEDIA COVERAGE" HarmoBOLT Vs Bashite...!

Kilasiku lazima mmoja wapo atajwe....!

Very funny...
 
Mwandishi ni maskini wa kipato unawaza wanaume wenzio utaishia kubaya dogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom