MAHITAJI YA VIWANJA MWANZA

Gesamore

Member
Sep 25, 2015
27
15
Kwa mahitaji ya viwanja vilivyopimwa kwa maeneo ya jiji la mwanza tuwasiliane au kwa mwenye shamba lake ambae alikuwa anahitaji huduma ya kupimiwa eneo lake nae tuwasiliane kwa namba hapo chini. Vile vile mwenye swali kuhusu masuala ya ardhi katika upimaji nae anaweza kuuliza nikamjibu asanteni sana. 0652601864
 
hata kiwanja kidogo kilichouzwa ndani ya shamba unaweza nipimia?
 
Back
Top Bottom