teachers' junction
Senior Member
- Dec 5, 2013
- 122
- 9
Habari wana jf.
Tunamahitajio ya:
1.Secretary
nafasi Nne.
Sifa:
Awe msichana,umri usipugue miaka 19.
Awe anajua vizuri kingereza,awe na typing speed.
Awe muislam.
Eneo la kazi ni shule za kiislam ziko tabata na kinyerezi.
2.Matron
Nafasi tatu.
Sifa:
Awe na umri usiopungua miaka 20.
Awe muislamu mwenye maadili mema ya dini.
Awe tayari kukaa shuleni.
Eneo la kazi shule ziko Tabata sanene na kinyerez mwisho.
Maombi na interview zinafanywa na Teachers' junction magomeni mapipa.
Mwombaji anatakiwa anatakiwa kuja na:
Cv.
Copy za vyeti
Passpot size mbili.
Form za usaili ni 15, 000/=tsh
Hakuna ------ mengine yoyote baada ya kazi.
Intervw na mafunzo ya kukumbusha kabla ya kwenda eneo la kazi ni buree.
Mwisho wa kupokea maombi ni jumaa tano asubuh 14/05/2014.
Ambapo mafunzo yatafanyika saa mbil asbh hadi nane mchana.
Nb.
Hatupokea tena maombi yatakayokuja siku ya mwisho zaid ya saa nne asubh.
0753-810857.
Acha utapeli mkuuHabari wana jf.

How come ni nafasi ya kazi na anapaswa kulipia fomu ya usaili?
halafu eti shule iko magharibi na sehemu ya interview ni masharikifomu za maombi 15,000 jamani jamani
[/QUOTE]Hapana noel
Teachers junction ni wakala wa ajira ya walimu hapa Tanzania na hivyo tunautaratibu kwa walim sasa huu ni mchepuko ndani ya safari yetuw
habari wana jf.
Tunamahitajio ya:
1.secretary
nafasi nne.
Sifa:
Awe msichana,umri usipugue miaka 19.
Awe anajua vizuri kingereza,awe na typing speed.
Awe muislam.
Eneo la kazi ni shule za kiislam ziko tabata na kinyerezi.
2.matron
nafasi tatu.
Sifa:
Awe na umri usiopungua miaka 20.
Awe muislamu mwenye maadili mema ya dini.
Awe tayari kukaa shuleni.
Eneo la kazi shule ziko tabata sanene na kinyerez mwisho.
Maombi na interview zinafanywa na teachers' junction magomeni mapipa.
Mwombaji anatakiwa anatakiwa kuja na:
Cv.
Copy za vyeti
passpot size mbili.
Form za usaili ni 15, 000/=tsh
hakuna ------ mengine yoyote baada ya kazi.
Intervw na mafunzo ya kukumbusha kabla ya kwenda eneo la kazi ni buree.
Mwisho wa kupokea maombi ni jumaa tano asubuh 14/05/2014.
Ambapo mafunzo yatafanyika saa mbil asbh hadi nane mchana.
Nb.
Hatupokea tena maombi yatakayokuja siku ya mwisho zaid ya saa nne asubh.
0753-810857.
halafu eti shule iko magharibi na sehemu ya interview ni mashariki
Hapana noel
Teachers junction no wakala wa ajira ya walimu hapa Tanzania na hivyo tunautaratibu kwa walim sasa huu no mchepuko ndani ya safari yetuw