Mahitaji (Needs) v Madai (Demands)

Mahitaji (Needs) v Madai (Demands)

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,609
Reaction score
1,738
Kuna mstari mwembamba sana kati ya mahitaji na madai hasa kwenye suala la mahaba na unyumba. Mtu akihitaji (sana) mapenzi ila akawa hapewi basi huishia kudai na madai hayo ya kutendewa haki hupelekea mwenza asijisikie kabisa (kuridhia) kutimiza mahitaji ya mwenzake. Mtanzuko huo husababisha mmoja aone anaonewa na mwingine aone analazimishwa. Hapo ndipo hali inapozidi kuwa ngumu na kupelekea msongo wa mawazo na sononeko la moyo.
 
Back
Top Bottom