Ibrahim Nzunda
Member
- Dec 7, 2012
- 23
- 22
Hapa kuwa makini sana. Panawatatiza wengi. Utaratibu ni kuwa maadamu kampuni iitakuwa imepata TIN ina maana uko kwenye mfumo wa EFILLING.Ahsante kwa thread yako, nina maswali machache yanayonitatiza. Kwa mfano nimefungua Kampuni tayari na nikafeli kuanza kwa shughuli za kibiashara kwa miaka miwili toka ni sajili.
Utaratibu wa kikodi ukoje?.
Shukurani, unapojaza hizi efilling hamna malipo ya namna yeyote maana unakuwa hufanyi biashara bado?Hapa kuwa makini sana. Panawatatiza wengi. Utaratibu ni kuwa maadamu kampuni iitakuwa imepata TIN ina maana uko kwenye mfumo wa EFILLING.
Sasa mfumo huu unalazimisha ku FILE PROVISIONAL ASSESSMENT ya NIL kabla ya March 31 kila Mwaka. Halafu ufanye FINAL EFILLING ya hesabu za mwisho wa mwaka ka la ya JUNE 30 kila mwaka.
Hizi efilling zifanyike kwa wakati bila kukosa kwa sababu kuna FINE ya shs 225,000 kwa kila mwezi ambao utakuwa umechelewa kufanya Effiling. Kila mwezi unazaa fine kama hukufanya EFFILING.
Nipigie nikupe maelekezo vizuri 0655895751Ahsante kwa thread yako, nina maswali machache yanayonitatiza. Kwa mfano nimefungua Kampuni tayari na nikafeli kuanza kwa shughuli za kibiashara kwa miaka miwili toka ni sajili.
Utaratibu wa kikodi ukoje?.
Je ukiwa unataka umiliki wewe na mtoto wako ambaye yuko under 18years(let's say 2years)Mahitaji kwa ajili ya kampuni
1. Namba za Nida (kila mtu yake)
2. TIN numbers (Kila mtu yake,TIN yoyote aliyonayo kwa jina lake)
3. Phone, email, (kila mtu yake)
4. P. O. Box zenu.
5. Mahali mnapokaa kila mtu
6. Memorandum & Articles of Associtaion iliyopigwa mhuri wa mwanasheria
7. Pesa ya usajili ( gharama za usajili check brela.go.tz )
Utajaza form online na nyingine mbili. na kusubmit hiyo memart
__
NB: kazi ya tin ni kama kazi ya Namba ya nida. kwa ajili ya usajili sio biashara. ya biashara utatumia tin ya kampuni baada ya kusajili kampuni.
so kama huna tin APPLY NON-BUSINESS TIN Via ots.tra.go.tz
__
NB: Idadi minimum ni wawili (wewe na mwenzako. NDIVYO SHERIA INATAKA).
So kama wewe ndiye mmiliki mkuu basi Tafuta mtu mpatie chini ya 1%ili wewe umiliki zaidi ya 99% (mke/mume/ndugu/rafiki/mtoto wako/ etc).
JE UNAHITA MSAADA KUANDAA DOCS NA KUFANYA APPLICATION? , au huna muda ? TUNASAIDIA(Consulting) KWA HARAKA NA UFANISI👇🏾👇🏾 KAZI(SCOPE) YA UPANDE WETU NI;
1. Kuandaa Memorandum and articles of association
2. mwanasheria
3. kujaza forms zote zinazotakiwa
4. na kufanya application online
-----------
Call 0754210627
info@nzundatech.co.tz
Je ukiwa unataka umiliki wewe na mtoto wako ambaye yuko under 18years(let's say 2years)
Inakubarika?
Mkuu ni zipi faida za kusajili business name kama mbadala wa kusajili kampuni, Tiririka tafadhaliNatamani kufungua Kampuni hata ya kidwanzi tu. Ila kila ninapofikiria huo mchanganuo wa mahitaji/matakwa ya kisheria; aisee nguvu zinaniisha kabisa.
Atleast nitaanza kwanza na business name.
Businesses Name,Mkuu ni zipi faida za kusajili business name kama mbadala wa kusajili kampuni, Tiririka tafadhali