Mahita kwa BABU akipata dawa

Dah, kwa jinsi jamaa alivomfatilia na kupiga picha zake, imeniacha hoi.

inaonekana kabisaa alikuwa amemlia timing,atakuwa ni mpiga picha wa magazeti ya udaku mnh:embarassed2::hatari:
 
Wana jf, hatuwezi jua ule msururu mrefu pale kws babu unaumwa nini isipokuwa katika nchi ambazo zimeendelea kwa uwazi kama south africa HIv prevalence kwa sasa ni 75%. Hapa kwetu wanaopima kwa lazima(expecting mothers+ wanaotaka kuoana) ndio wanaotupa takwimu tulizo nazo- hizi takwimu hazituelezi chochote. Tukae chonjo maana soppose half ya walioenda kwa babu ni HIV then tutegemee siku moja maofisi yetu yatakuwa hayana watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…