Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahita kwa BABU akipata dawa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Inkoskaz, Mar 11, 2011.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,251
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Jionee mwenyewe former IGP akijisevia
   

  Attached Files:

 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,072
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hahaaaaaaaaaaa mbona kachoka sana
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,823
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaha kumbe huyu mzee si NGUNGULI kama alivyojinadi miaka ile hahahahahaha Jamani KIKOMBE CHA UZIMA si mchezooooo
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,228
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  mwenzio ashapata uzima wa milele nakuchoka kwake bado sie na mitambo yetu jamani jf amna arrangement ya kwenda
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yeye anapingana na tamko la serikali?
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,021
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  doooh omar kashapiga kikombe chake?
   
 7. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,363
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,251
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  mkuu asante kw a kukuza...umeziona nyingine hapo chini?
   
 9. n

  nndondo JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,103
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hii nzuri sana itatusaidia watakapotupiga mabomu kwa sababu tumekataa kuacha kwenda loliondo, maana wao wameshamalizika na watoto na wajukuu wao sasa wanatukataza ili waendelee kutuvuna kwenye hospitali zao na 10% za ARVs wanazotubwagia huko medical stores
   
 10. A

  ALLY KILUNGUZO SALUM Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Watanzania sisi wote ni wagonjwa huyo babu wa loliondo serikali ingemthamini akatutibu ili kupunguza gharama za kwenda hospitalini.mimi nina imani kabisa hii dawa inatibu,watu wote hao mpaka leo tungesikia kuwa kuna mtu amepata athari.
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,066
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Inkosikaz, wewe umeshapata kikombe?, ulikuwa unasumbuliwa na nini?, pole mwaya enenda kwa amani imani yako imekuponya.
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,251
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Asante sana Gamma..lakini kila binadamu ni mgonjwa kwa namna moja ama nyingine...
   
 13. K

  Kachero JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali hapa lazima ifanye jambo la ziada sio kutoa majibu mepesi mepesi kwenye suala linalohusu maisha ya watu wengi kama hivi.Kwa kweli kwa babu kumefunga duuuuu!
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 11,956
  Likes Received: 3,251
  Trophy Points: 280
  Duh Hospital ya Babu kiboko hakuna cha mlalahoi wala mkuu wa nchi.Mkuu wa Kayaa alikuwa wa mwanzo mwanzo,Mzee Ruksa akaja Lowasa mawaziri kuanzia awamu ya kwanza hadi ya nne ndiyo usiseme Maaskofu na masheckh hawakubaki nyuma Kakobe wewe ni nani Mahita na ngunguri yake kasalimu amri katia mguu Hospital ya Rufaa kwa Babu Loliondo.
   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 11,956
  Likes Received: 3,251
  Trophy Points: 280
  :lol: Duh huyu mtoto ni yule aliyezaa na beki tatu akamkana duh damu nzito kuliko maji.

  [​IMG]
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kumbe mwenyewe tu ndo sijaenda kwa babu?? ngoja niwahi tiket kesho asubuhiiiiiiiiiiiiii!!
   
 17. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,019
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Nimeipenda sana hii!
  Du kumbe wakubwa woote tayari! sasa wanazuia nini! waache na wengine wakajinywee!
  Hawana haya hata kidogo!
  Babu hoyeee!!!
   
 18. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,251
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Jana Dr wa Hosea wa tkkr alimeza
   
 19. c

  chetuntu R I P

  #19
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo mtoto aliyeongozana na Mahita anaoneka mgonjwa, heri kama alikunywa dawa.
   
 20. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,729
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Dah, kwa jinsi jamaa alivomfatilia na kupiga picha zake, imeniacha hoi.
   
Loading...