Hii nzuri sana itatusaidia watakapotupiga mabomu kwa sababu tumekataa kuacha kwenda loliondo, maana wao wameshamalizika na watoto na wajukuu wao sasa wanatukataza ili waendelee kutuvuna kwenye hospitali zao na 10% za ARVs wanazotubwagia huko medical stores
Watanzania sisi wote ni wagonjwa huyo babu wa loliondo serikali ingemthamini akatutibu ili kupunguza gharama za kwenda hospitalini.mimi nina imani kabisa hii dawa inatibu,watu wote hao mpaka leo tungesikia kuwa kuna mtu amepata athari.
Serikali hapa lazima ifanye jambo la ziada sio kutoa majibu mepesi mepesi kwenye suala linalohusu maisha ya watu wengi kama hivi.Kwa kweli kwa babu kumefunga duuuuu!
Duh Hospital ya Babu kiboko hakuna cha mlalahoi wala mkuu wa nchi.Mkuu wa Kayaa alikuwa wa mwanzo mwanzo,Mzee Ruksa akaja Lowasa mawaziri kuanzia awamu ya kwanza hadi ya nne ndiyo usiseme Maaskofu na masheckh hawakubaki nyuma Kakobe wewe ni nani Mahita na ngunguri yake kasalimu amri katia mguu Hospital ya Rufaa kwa Babu Loliondo.