Mahindi yanauzwa!!

Mahindi yanauzwa!!

antiwela

Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
15
Reaction score
4
Salaaam!!
Natafuta mteja /wateja wa kununua mahindi. Nina gunia 200 kwa sasa bei Tsh 65000 kwa kila gunia..
 
Yapo mkoa gani? Hizo gunia zinakua na kilo ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom