Mahindi yanahitajika

Mahindi yanahitajika

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
197
Habari ,
Kwa yeyote anaeweza ku supply au unamfahamu mtu mwenye uwezo wa ku supply mahindi kwa quantity kwanzia 10tons mpaka 2,000tons kwa mwezi,naomba anicheki inbox tu link up,tufanye biashara

Vigezo
Kwa mahindi mapya
Unyevunyevu/Moisture-15.5%

Ukungu/ Mould-2%

Uchafu/Impurities-1%

Mahindi ya zamani
Unyevunyevu/Moisture - 12%

Uchafu/Impurities - 1%

Ukungu/Mould- 2%

Eneo : Misugusugu - Pwani

Malipo : siku 3-5 za kazi upon delivery

Interested ,nicheki whatsapp kupitia 0620749806
 
Ni vizuri ukaweka details zote hapa
Kama mahindi mapya bei ni 800 kwa kg
Mahindi ya zamani bei yake ikoje ?
Apo kibaha kuna kiwanda cha wachina unatoka na mahindi ukijua Kuna soko la uhakika ukifika nayo wanakuomba pesa ya udalali ili mzigo wako ununuliwe
Kwenye izi fursa inahitaji umakini wa kujua unafanya Biashara na mtu wa aina gani
 
Ni vizuri ukaweka details zote hapa
Kama mahindi mapya bei ni 800 kwa kg
Mahindi ya zamani bei yake ikoje ?
Apo kibaha kuna kiwanda cha wachina unatoka na mahindi ukijua Kuna soko la uhakika ukifika nayo wanakuomba pesa ya udalali ili mzigo wako ununuliwe
Kwenye izi fursa inahitaji umakini wa kujua unafanya Biashara na mtu wa aina gani
Yaani kila Sehemu ni udalali!
 
Mahindi ni ya kutulia nayo. hayakuwa mengi msimu huu kutokana na hali ya mvua kuwa kiduchu kwa baadhi ya maeneo.
 
Kaka nina Tan 27k yani 27,000 na vipimo sahihi, Tani moja unanunua TZS ngapi?
 
Back
Top Bottom