Mahindi yanahitajika..

Mahindi yanahitajika..

Kabare12

Senior Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
106
Reaction score
105
Mwenye uwezo wa ku supply zaidi ya ton 100 za Mahindi na kuzileta Rwanda anakalibishwa inbox kwa majadiliano..
 
Jamani fursa izo kwa wafanyabiashara wa mahindi
 
Mi naona thread ingebakishwa jukwaa la biashara..
 
Unanunua Faranga ngapi kwa tani?

Kwa wiki unataka mahindi tani ngapi?
 
Mkuu umepata au bado?
Malipo kwa njia ya escrow account if yes karibu tufanye biashara.....

Kama unamapendekezo ya njia ya malipo zaidi ni check mzigo upo wa kutosha.
 
Back
Top Bottom