singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
TAKUKURU anapeleleza na akishamaliza upelelezi kazi inakwenda kwa DPP anayeanda mashitaka, serikali inafilisi mali za yule aliyepelelezwa na TAKUKURU na akashtakiwa na DPP. Ni mgawanyo wa majukumu ya kazi.Anaetaifisha ni TAKUKURU?
sio hukumu ya mahakama?
huu ndo utawala wa sheria?
TAKUKURU anapeleleza na akishamaliza upelelezi kazi inakwenda kwa DPP anayeanda mashitaka, serikali inafilisi mali za yule aliyepelelezwa na TAKUKURU na akashtakiwa na DPP. Ni mgawanyo wa majukumu ya kazi.
Takukuru watueleze tuhuma za chenge zimeishia wapi?
Ndio maana rais akautumbua uongozi wote wa TAKUKURU iliyokuwa chini ya Hoseah.Rekodi ya TAKUKURU kushinda kesi ikoje?
Rekodi ya TAKUKURU kushinda kesi ikoje?