Mahawara wanasana Guest house

Mahawara wanasana Guest house

Habari nilizozipata leo hii kutoka kwa rafiki wa jirani wa jamaa mwenye mke ni kwamba HUYO MGANGA ALIYETEGA HIVYO AMESHAKUFA MWAKA JANA NA KWA BAHATI MBAYA HAKUMPA DAWA YA KUGANGUA PINDI JAMBO KAMA HILI LINAPOTOKEA!
 
Safi sana kitu kimenasa hata kikisinyaa bado tu.Huko noma embu fanya mpango tujue hiyo sayansi iliyotumika hapo.Manake hukun uswahilini kwetu mchezo wa kuibiana umezidi
 
weka picha bwana hata kama itaingiliana uhuru wao binafsi kwani itakuwa fundisho ila usiweke sura
 
Habari nilizozipata leo hii kutoka kwa rafiki wa jirani wa jamaa mwenye mke ni kwamba HUYO MGANGA ALIYETEGA HIVYO AMESHAKUFA MWAKA JANA NA KWA BAHATI MBAYA HAKUMPA DAWA YA KUGANGUA PINDI JAMBO KAMA HILI LINAPOTOKEA!

Mahawara wamehamishiwa Rufaa Mbeya sijui madaktari wataweza kunasua.
Wataalam wa mambo wa Tanga kunani wanasema ni usinge
 
na wakiendelea kuacha hao watakufa...hmmm huyo alietega duuuu
 
Nyie mnaoshangaa saa nane mchana mlitaka iwe sangapi? Au ni muda gani mzuri wa kufanya ngono hasa pale unapoiba?lol
 
Heeeeeee.....sasa wanakulaje, kojoaje,nyaje? swala la muda si tatizo hata kidogo mahala popote na saa yoyote. Any time is tea time bana weye, tatizo hawa ni wanzinzi.
 
saa nane mchana si ndio muda muafaka maana wanandoa wao wako makazini, mlitaka waende saa ngapi? kwani kuna muda maalum.

Saa nane mchana?? Kweli watu wanapenda ngono kha??!!!
 
Mahawara wamehamishiwa Rufaa Mbeya sijui madaktari wataweza kunasua.
Wataalam wa mambo wa Tanga kunani wanasema ni usinge

Tehe tehe tehe... ni pale Lusanga, about 10 km from Muheza kama unakwenda Tanga, ndio wataalamu wa hayo yote.

Wewe si umemwona mumewe/mkewe ni **** unaamua kummegea, you should face the music.

The way the cookie crumbles
 
Back
Top Bottom