Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,340 Reaction score 16,800 May 18, 2014 #1 vipi mtalikodi hili niwaweke kwenye ratiba!!
General8 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 996 Reaction score 863 May 18, 2014 #2 Ningekuwa sijafunga ndoa, ningelikodi aisee
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 547 May 18, 2014 #3 Aaaha iweke tu nitakutafuta maana naona kama sitafaid xana
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 May 18, 2014 #4 Ooyooo ni zuri sana hata huyo mke na wakweze watafurari ya mwana wetu kapata kibopa kumbe la kukodi na kwa hapa bongo huwa halifai kabisa ni sawa sawa na kuwakaribisha majambazi kwenye hiyo shughuli na badala ya cheriko huwa kilio
Ooyooo ni zuri sana hata huyo mke na wakweze watafurari ya mwana wetu kapata kibopa kumbe la kukodi na kwa hapa bongo huwa halifai kabisa ni sawa sawa na kuwakaribisha majambazi kwenye hiyo shughuli na badala ya cheriko huwa kilio
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,340 Reaction score 16,800 May 18, 2014 Thread starter #5 General8 said: Ningekuwa sijafunga ndoa, ningelikodi aisee Click to expand... mkuu kwani wewe siyo wa ile dini inayoruhusu wengi!!
General8 said: Ningekuwa sijafunga ndoa, ningelikodi aisee Click to expand... mkuu kwani wewe siyo wa ile dini inayoruhusu wengi!!