Mahari ni zawadi kutoka kwa mume kwamke wake na sio ya family, wengine sijui wanataka mkaja kilemba, sijui mshaka gani mengine,lakini kwa ufupi nizawadi ya mke kutoka kwa mumewee,na haina limit kua mpe mil1 au 100 mpe elfu 10 au 50, hata pete ya silver pia anaweza kukupa zawadi,muhimu maelewano...