Mahari ya Single Mom

Idiot chafukwa saa hii son of b!ch

Sent using Jamii Forums mobile app
................Hahaha mzee ulipigwaga mahari ndefu nini ulipokokota hiyo single mom unayosaidiana nayo maisha?mbona umechafukwa kiasi hiko!

Wajanja hao wanaokotaga bure wewe ulikubalije kulipa mahari?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
................Hahaha mzee ulipigwaga mahari ndefu nini ulipokokota hiyo single mom unayosaidiana nayo maisha?mbona umechafukwa kiasi hiko!

Wajanja hao wanaokotaga bure wewe ulikubalije kulipa mahari?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
mkuu sina mke na ikitokea nikapata single mom nikamuelewa naoa coz sioi status yake naoa mke, siwezi kumudharau kisa ni single mom saa zingine ni bora alee mtoto peke yake kuliko kuishi na mwanaume mpumbavu, Mimi nalea mwanangu baada ya kugundua nataka kuoa malaya jaribu kupata picha hii kitu ingekua vice versa angekubali tu ili asiwe single mom?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjane siyo single Mama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyez Mungu Mwenyewe alimuumba Hawa akiwa hana mtoto kisha akamleta kwa Adam inamaana mfano huo hamuuoni tu.....unaanzaje kuoa single mother kijana na akili zako timamu ujue chakwanza huyo single mother atakudharau kimoyomoyo
Ubarikiwe mtumishi kazi yako Ileje inaonekana 😂
 
Jamani .....tuwe na Soni ya maneno yani mwanamke kuzaa amekuwa kopo? Hata Kama sio matumizi sahii ya maneno.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wajane na single mothers ni makundi mawili tofauti kabisa.hata kama wamelelewa na single mother ndo wasiseme ili kurekebisha?
 
mzee kubakwa ni kesi nyingine.aliyebakwa hajafanya huo uzinzi unaosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…