Mahari na taratibu za uchumba za Wakibosho zipoje?

Mahari na taratibu za uchumba za Wakibosho zipoje?

KASULI

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
599
Reaction score
680
Kuna binti wa Kichaga (Mkibosho) amenikubalia nimuoe.

Mimi ni mhaya. Nataman kufaham process za uchumba wa Kichagga, baada ya kunikubalia nini kinafuata mpaka kufikia Ndoa

Sisi sote ni Wakristo wakatoriki, natamani pia kufaham Mahali za Wakibosho zimekaaje.

Naomba Kuwasilisha.
 
Kama umemchunguza Hain tatizo ila unaweza sema wa kibosho kumbe kazaliwa na kakulia dar ,au bukoba au mikoa mengine

Angalia na hofu ya mungu ipoje je mmeishi vip katika uchumba hao wanaodai sijui kuuliwa na mambo ya zaman
 
Naona watu watu wanatumia maneno
Historia ya zamani , kakulia dar nakadhalika [emoji16][emoji16]

We kama umeamua kuoa mpalestina we oa tu
 
Kuna binti wa Kichaga (Mkibosho) amenikubalia nimuoe.

Mimi ni mhaya.

Nataman kufaham process za uchumba wa Kichagga, baada ya kunikubalia nini kinafuata mpaka kufikia Ndoa

Sisi sote ni Wakristo wakatoriki, natamani pia kufaham Mahali za Wakibosho zimekaaje.

Naomba Kuwasilisha.


Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize vizuri uyo dada. Vilevile mungu awaongoze mfanikishe jambo lenu
 
"Kila nafsi itaonja umauti" usipingane na maandiko ya mungu nenda kaoe tu.
 
Tatizo mna download makabila kwa hiyo lazima mseleleke!!!
 
Si ungemuuliza huyo mke ntakua mkuu!! Anyway bila shaka Ushapata mwongozo!! Kila la kheri!
 
Back
Top Bottom