Kosa analo binti, alitakiwa kusema uwezo wa mchumba wake kwa familia ili wasimuumize sana. 3.2M kwa mtu wa kawaida ni pesa nyingi, hapo bado maandalizi ya arusi ambayo pia anatakiwa kugharamia, ukiwa na mchumba mwelewa inakuwa ahueni kidogo, otherwise kuoa kwahitaji kujipanga vilivyo.
Hata nyie wachagga
tian sio rahisi kivile, japo kuna unafuu.