life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Na'am, Bi Munkari tamaduni zapishana, Kutokana na hali halisi yakuwa wazazi huona BINTI yao kafaikiwa Mume nao kupata mkwe (ufahari ndani ya ukoo) hiyo kwanza ni hadhii ! kwakuwa bidhaa hii imejaa mjini ambayo inaushindani mkubwa Pili Money(mahari) sii lolote mbele ya mwali wao kufurahia harusi yake THE DAY (hiyo kiuswahili ni hadhii na heshima) Tatu, huwaga hawuzi binti kujitajirisha ndo maana wapo kama walivyo... "Natamani maBinti wetu wote wapate Waume wema" na "Vijana wetu wote wapate Wake wema" AMINSabah al-kheyri wanaJF, Mara nyingi utamaduni wa kutoa na kupokea mahari huwa baada ya makubaliano kati ya wazazi wa bi Harusi(binti) na Bw.harusi au wahusika wake, Mwenye kupokea mahari huwaga wazazi wa bi.harusi hapo sasa Bi harusi anaambiwa figures tu lakini listi ya programu za shughuli ndizo zinakula mahari yote.[ ..... Sasa hapa kuna faida gani kwa wazazi kama mahari yote itapotelea kwenye hizo programu za shughuli?
thenks best,kwa hiyo kwenu binti hapo hana chake siyo?
Hahahahahaahaaa!!!! umenichekesha, anyway, mkaja ni kama zawadi wanayopewa wazazi kama asante yao ya kunizaa , kunilea vizuri mpk nikapata mume, so yule mume anawapa wazazi kuwashukuru.
'Mchaga' wewe una mahesabu makali lol...yaani timing yako ni kama ya kuvizia shingo ya kobe upate kumtenganisha na kiwiliwili chake.kama mimi kwa upande wangu nilidai mahari vitu vyote vya ndani(kabati la nguo,kabati la vyombo, kitanda,makochi,dresing table, set ya Tv) wakambiwa wanunue waviweke kwenye nyumba nitakayo kwenda kuishi...
Kwa mujibu wa taratibu na mafundisho ya kiislam, Mahari huwa ni stahiki ya binti.
Mengineyo ni tamaduni na mapenzi binafsi juu ya mgao.
Hivi mahari ni lazima iwe pesa?hakiwezi kuwa kitu chochote ambacho huyo bi harusi mtarajiwa anakitaka mfano kama akimwambia bwanaharusi ukinisomea mashafu nzima imetosha?Kwa mujibu wa taratibu na mafundisho ya kiislam, Mahari huwa ni stahiki ya binti.
Mengineyo ni tamaduni na mapenzi binafsi juu ya mgao.
Heshima yenu wakuu! mwenzenu hilo swali hapo juu linasumbua akili yangu hivyo nataka kufahamu. Binti anapochumbiwa na kutolewa MAHARI(pesa) huwa inaenda WAPI? Je,anapewa yeye mwenyewe yote kwa mambo yake binafsi, au wazazi/walezi baba na mama wanagawana peke yao, au familia nzima huwa inagawana wakiwemo mashangazi cjui wajomba madada na makaka, au binti mwenyewe na wazazi wake pekee, au huwa inawekwa kwa ajili ya maandalizi ya vitu kama kitchenparty na sendoff?,ama inakuwaje? Au matumizi na mgawanyo huo hutofautiana kabila na kabila? Nijuzeni mwenzenu mana sikuhizi mahari imekuwa kama mtaji mtu anaoa hadi kwa millioni 2 utadhani ananunua kiwanja magwepande daah! That y vijana bado wapowapo wakifikiria hapa, siwalaumuu! Haya karibuni kwa discussion..... Nitarudi bdaye! Cc Heaven on earth christine ibrahim Lady doctor @Lara1 Nivea Smile miss strong DEMBA Kongosho Mamndenyi Mtambuzi watu8 Himidini HorsePower Mr Rocky Kaizer and OTHERS...
Sio lazima pesa.Hivi mahari ni lazima iwe pesa?hakiwezi kuwa kitu chochote ambacho huyo bi harusi mtarajiwa anakitaka mfano kama akimwambia bwanaharusi ukinisomea mashafu nzima imetosha?
Lisa nimeipenda hiyo yako ya kudai mahari ununuliwe vitu vya ndani.ulifanya vema! Lakiinii, huoni kuwa kama ulimtesa huyo bwana yani atoe mahari afu atoe na zawadi kwa wazazi(mkaja) for what? Ama ndo utaratibu wa kabila lenuu ama ndivyo ulivyoamua wewe,ama ndivyo ulivyokuwa umepanga na mumeo mtarajiwa! Haahaa! Maswali mengi kidogo!
'Mchaga' wewe una mahesabu makali lol...yaani timing yako ni kama ya kuvizia shingo ya kobe upate kumtenganisha na kiwiliwili chake.
mara nyingi mahari inachukuliwa na wazazi. hata waislamu wengi ambao nimewaona mimi wazazi wao ndo wamekula mahari ingawa dini inasema achukue binti. nadhani wengi tunafuata mila na desturi na si dini katika suala hili.Heshima yenu wakuu! mwenzenu hilo swali hapo juu linasumbua akili yangu hivyo nataka kufahamu. Binti anapochumbiwa na kutolewa MAHARI(pesa) huwa inaenda WAPI? Je,anapewa yeye mwenyewe yote kwa mambo yake binafsi, au wazazi/walezi baba na mama wanagawana peke yao, au familia nzima huwa inagawana wakiwemo mashangazi cjui wajomba madada na makaka, au binti mwenyewe na wazazi wake pekee, au huwa inawekwa kwa ajili ya maandalizi ya vitu kama kitchenparty na sendoff?,ama inakuwaje? Au matumizi na mgawanyo huo hutofautiana kabila na kabila? Nijuzeni mwenzenu mana sikuhizi mahari imekuwa kama mtaji mtu anaoa hadi kwa millioni 2 utadhani ananunua kiwanja magwepande daah! That y vijana bado wapowapo wakifikiria hapa, siwalaumuu! Haya karibuni kwa discussion..... Nitarudi bdaye! Cc Heaven on earth christine ibrahim Lady doctor @Lara1 Nivea Smile miss strong DEMBA Kongosho Mamndenyi Mtambuzi watu8 Himidini HorsePower Mr Rocky Kaizer and OTHERS...
dah, wengine tulipokea mahari zetu wenyewe tena kwa mpesa.
hahaaaa nimechekaje kwa sauti LOL!!!!!!!