fredito13
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 213
- 146
Wakati nasoma shule ya sekondari (Songea Boys na Malangali boys) kulikua na tabia ya wapishi kuweka mafuta ya taa kwenye maharage ili kutupunguzia ashki/mhemko! Je ni kweli mafuta hayo hua yanasaidia kupunguza ashki na mihemko?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums