mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,387
- 1,556
Magufuli akudanganya watu hiyo kazi kaifanya kwa miaka 5 atukisikia tanesco wakilialia,tena mpango wa tenesco ilikuwa wakimaliza kuunganisha vijijini 3,000 walivyokuwa wamebakiza, ilikuwa ni kila nyumba inaunganishiwa umeme bure wewe unaanza kulipa bili kama wanavyofanya dawasco, Sasahivi tanesco wameingia majizi wanaanza kusema 27,000 elfu ni ndogo,Wamulize waziri aliyekuwepo alifanyaje na akafanikiwa.Mwinyi kule Zanzibar kapiga marufuku mwananchi kuuziwa nguzo.zanzibar wameweza huku bara kinashindikana nini?Wizi mtupuKama POMBE. Alikuwa anadanganya wajinga wenzake na leo wanaamini kwamba ati kuunganisha umeme ni 27000 tu.
Hovyoooo