Maharage Chande: Tuache kupeana maneno tamutamu; bei ya Tsh 27,000/= haitoshi kuunganisha umeme

Hilo swali muulize Samia mwenyewe kigeugeu, enzi za mwendazake alisema 27000 ndio mpango mzima, leo kakamata ofisu yeye anasema 27000 ni usanii haitoshi
Samia ndiyo hajitambui na ndiyo maana anateua watu kama Makamba na Maharage kuendesha wizara nyeti ya Nishati
Laiti Samia angejua jinsi anavyotukera na teuzi zake hasa za Makamba na moga yake Maharage,,, mnaosoma mwambieni Samia anaupiga mwingiii
 
Kibongo bongo watu kama Maharage ni waelevu; ila huyu mtu, Nehemia na Makamba uwabane in terms of hesabu za ‘job costing’ to justify their rationale ya hesabu zao kwanini bei za mijini lazima zipande awawezi kukujibu miaka 800.

Ni hivi until we get rid ya wanasiasa ambao awataki kuona kuna viongozi ambao pamoja na mapungufu yao wapo tayari kubadilisha culture ya kufanya mambo serikalini na ndani ya CCM: wao wanatetea utaratibu walio uzoea kwa sababu ndio walioukuta ndani ya serikali na CCM we are doomed.

Even societies evolve wasiotaka evolution ni tatizo letu ndani ya jamii.

Maharage akutane na serious accountant amweke chini ambane kuelezea mipango yake in line with management accounts awezi jibu why bei ya mjini kuunganisha umeme ni x13 ya kijijini based on ‘job costing. Binafsi nikimskiliza tu naona anapwaya na hana uwezo and I am a lazy accountant to a serious one anamwacha uchi.

For starters if you know anything about ‘job costing’ hiyo hoja yake aitoshi kati ya bei ya mjini na kijijini even with REA subsidiaries let alone umtwange na mambo mengine serious ya management accounts ajibu why he is talking bunkum.

Ni hivi Bashiru wasn’t perfect but it was someone you could school so was Magufuli; pamoja na mapungufu yao their strength was commitment to change the existing working culture ndani ya serikali na CCM (and that was important) despite their shortfalls.

Lakini hawa wanaotaka mambo yabaki kama walivyozoea kazi bure kuongea nao; muhimu ni kujifunza kuishi nao tu. That means kula kwa urefu wa kamba yako, unapopata fursa.

Kwa wahusika January Makamba mumfute as a potential national leader hii wizara imemfumua hana uwezo kabisa (wacha ajitarijishe kama alivyochagua) but get rid of this guy; he doesn’t have it.

Mtu pekee kwa sasa mwenye sifa ya kuingoza Tanzania kwa alipoishia Magufuli (kwa yale yaliyo mazuri) ni Hussein Mwinyi.
 
Na tatizo lingine la sisi Watanzania ni ule ujuaji uliopitiliza na kuona wengine wote wako blank. Una uhakika kuna hiyo source ya kutoa mtaji wa kufanya yote hayo?!
Washauri basi na Dstv Na akina Azam wasiuze Decoders na Dishes wafunge tu tutalipa subscription..
DSTV na Azam wakikuuzia decoders na dishes, hivyo vitu vinakuwa vya kwako mteja, sio vyao.
 
Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!

Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?

Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?

Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.

Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Hivi huyu ni maharage ya wapi?
 
DSTV na Azam wakikuuzia decoders na dishes, hivyo vitu vinakuwa vya kwako mteja, sio vyao.
Each company has its strategy DSTV and Azam ni wengine. Kwakuwa TANESCO wameamua ni vya kwao so it should be part of their direct component costs and added appropriately overtime as part of depreciation in electricity unit cost.

Inaadhihirisha Maharage ni mtu ambae amekopi strategy ya shirika moja na kuipeleka kwingine without the accounting knowledge to why did so where he came from.

Hawa watu ukiwasikiliza unawaona uwezo wao na Maharage akipewa serious accountant awezi justify his pricing decisions ni mtu wa jumla jumla tu hakuna business acumen.

Busara ni kutoa watu wote wawili waziri na upuuzi wake aliopeleka TANESCO useless people.
 
-Serikali iwe makini katika kuteua watendaji wakuu,wa mashirika makubwa yenye kuhitaji taaluma maalum Kama TANESCO hasa kwenye nafasi ya juu kama ya CEO.
-Mchakato wa kumpata CEO wa TANESCO,sijui kama ulifuata utaratibu,(kutangazwa,usaili na vetting)
-CEO wa TANESCO hafahamu vema majukumu na changamoto za kazi yake.
-Ninadhani CEO wa TANESCO Ni zao la Mamlaka ya uteuzi kupelekewa majina ya ma- CEO waliopo Tanzania,(wanaopeleka Ni ndugu na marafiki) na kura ikamwangukia Maharage wa DSTV.
-kosa lilianzia hapo DSTV na Shirika Kama TANESCO ni tofauti Sana.
-CEO wa TANESCO anapaswa kujua kuwa, Umeme wa shs27,000 ni majukumu ya REA na siyo TANESCO .
-watumiaji wa umeme wanachangia 3% kwenye REA,
-
Ushauri
1). Serikali ipitie upya maamuzi yake kuhusu hawa ma-CEO wanaopendekezwa kwa msingi ya undugu au urafiki na wasaidizi wa Mamlaka za uteuzi.
2).CEO wa TANESCO ameishiwa pumzi na uwezo mdogo,apangiwe majukumu mengine.
3). Serikali ichukue mkopo wa riba nafuu kutoka benki ya dunia au IMF au Exim bank ya China ili kuwekeza kwenye miundo mbinu ya umeme vijijini na Mijini.
4). iombe msaada kwenye taasisi za kimataifa,kutatua changamoto ya miundo mbinu ya umeme vijijini na Mijini.
5). Serikali iwe inatangaza na kushindanisha waombaji nafasi za watendaji wakuu wa Taasisi kwa watanzania walioko ndani na nje ya nchi yetu.
6). Rais SSH, wasaidizi wako,wanakuangusha,wanataka kukugombanisha na wapiga kura wako, umeme siyo anasa tena,ni huduma muhimu.
7). Shirika Kama TANESCO CEO wake, awe anaandaliwa kutoka ndani ya taasisi (badala ya kutoka nje ya taasisi,ikibidi baada ya kufanya kazi ndani,anaweza kupelekwa kwenye taasisi mbalimbali ndani na nje kwenda kujifunza zaidi).
8). TANESCO,iweke utaratibu wa kukoposha nguzo na nyaya kwa wateja wa mijini wanao hitaji zaidi ya nguzo moja, halafu walipe deni ndani ya miaka 3 kupitia Luku
 
DSTV na Azam wakikuuzia decoders na dishes, hivyo vitu vinakuwa vya kwako mteja, sio vyao.
Good observation. Swali, hata vikiwa vyako unaweza kufanyia matumizi gani mbadala bila kuungwa na huduma zao?!
 
Good observation. Swali, hata vikiwa vyako unaweza kufanyia matumizi gani mbadala bila kuungwa na huduma zao?!
Naweza ku-extract precious elements therein. Naweza kumuuzia mtu mwingine, naweza kukigawa bure, I can even destroy it at my pleasure. Haya yote huwezi fanya kwa facilities unazouziwa na Tanesco.
 
Yaani elfu 27,000, yaani 27,000 kabisa...
Labda ilikuwa 270,000 lakini yule mwehu alikosea kusoma kwenye hotuba zake, basi ikanasa 27,000......
 
Kibongo bongo watu kama Maharage ni waelevu; ila huyu mtu, Nehemia na Makamba uwabane in terms of hesabu za ‘job costing’ to justify their rationale ya hesabu zao kwanini bei za mijini lazima zipande awawezi kukujibu miaka 800.

Ni hivi until we get rid ya wanasiasa ambao awataki kuona kuna viongozi ambao pamoja na mapungufu yao wapo tayari kubadilisha culture ya kufanya mambo serikalini na ndani ya CCM: wao wanatetea utaratibu walio uzoea kwa sababu ndio walioukuta ndani ya serikali na CCM we are doomed.

Even societies evolve wasiotaka evolution ni tatizo letu ndani ya jamii.

Maharage akutane na serious accountant amweke chini ambane kuelezea mipango yake in line with management accounts awezi jibu why bei ya mjini kuunganisha umeme ni x13 ya kijijini based on ‘job costing. Binafsi nikimskiliza tu naona anapwaya na hana uwezo and I am a lazy accountant to a serious one anamwacha uchi.

For starters if you know anything about ‘job costing’ hiyo hoja yake aitoshi kati ya bei ya mjini na kijijini even with REA subsidiaries let alone umtwange na mambo mengine serious ya management accounts ajibu why he is talking bunkum.

Ni hivi Bashiru wasn’t perfect but it was someone you could school so was Magufuli; pamoja na mapungufu yao their strength was commitment to change the existing working culture ndani ya serikali na CCM (and that was important) despite their shortfalls.

Lakini hawa wanaotaka mambo yabaki kama walivyozoea kazi bure kuongea nao; muhimu ni kujifunza kuishi nao tu. That means kula kwa urefu wa kamba yako, unapopata fursa.

Kwa wahusika January Makamba mumfute as a potential national leader hii wizara imemfumua hana uwezo kabisa (wacha ajitarijishe kama alivyochagua) but get rid of this guy; he doesn’t have it.

Mtu pekee kwa sasa mwenye sifa ya kuingoza Tanzania kwa alipoishia Magufuli (kwa yale yaliyo mazuri) ni Hussein Mwinyi.
True hussein mwinyi ni mkali hataki ujinga ujinga kwenye maslahi ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza ku-extract precious elements therein. Naweza kumuuzia mtu mwingine, naweza kukigawa bure, I can even destroy it at my pleasure. Haya yote huwezi fanya kwa facilities unazouziwa na Tanesco.
Sawa, ila kumbuka Decoders zinasajiliwa kwa taarifa za mnunuzi na zinaishi ki-electronic ni account number. Ukimuuzia mtu hawezi kutumia kwa uhuru bila kukuhusisha. Labda umuuzie Dish au LNB. Kwahiyo mfanano na vifaa vya Tanesco bado upo.
 
Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.
Hakuna hatari yoyote hapo....ni kwamba hampendi kuambiwa ukweli.
 
Alichoongea Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ni kweli juu ya watu wa mijini kuunganishiwa umeme kwa 27,000 ni hasara kubwa maana gharama zinakuwa kubwa kuliko uhalisia...Lakini nashangaa mtoa post anajifanya ajui ukweli unakuta mtu anavifaa vya umeme ndani kwake vyenye zaidi ya thamani ya 3 Milioni lakini ndio wakwanza kulalamika juu ya gharama kurudi kama dhamani

Pia mtu huyo huyo umeme ukiwa sio stable anakuja kulalamika wakati Shirika linaitaji fedha za kuendesha Shirika kisasa kwa kubadirisha Miundombinu yake ya dhamani.

Ninachoamini kwa Sasa Shirika linaelekea katika mabadiriko makubwa katika utendaji wake na kujiendesha tuwape Muda viongozi wa Shirika na Waziri Makamba kuna transformation kubwa ya utendaji. Maswala ya umeme kukatika ni matengenezo ya Miundombinu mfano Shirika linaondoka katika matumizi ya nguzo za mbao wanakula na nguzo za zenge
 
Nimesikiliza huyu mkurugenzi nikabaki nimeduwaa. Hivi concept ya serikali kusambaza umeme ikoje? Nilidhani kwamba gharama za kuunganisha zingekuwa as minimum as possible ili waunganishe wateja wengi halafu fedha zirudi kwa kuuza units za umeme. Ndiyo maana makampuni ya simu yanatafuta yenyewe fedha kwa ajili ya infrastructure installation (kuweka minara na vituo kadhaa then returns zao wanazipata kutoka kwa wateja kupitia airtime, msg na miamala.
Tusipotoshe Umma hata hayo makampuni ya simu kuna maeneo hayapeleki huduma sababu ya ku run loss.... Serikali kupitia mfuko wa Mawasiliano kwa wote hujenga Miundombinu ya minara then kuwaomba makampuni ya simu kuja kuwekeza... Ndio maana serikali umeacha kwa maeneo ya vijijini bei kuwa 27,000 sababu kuongeza kwa kasi wateja wapya na Hali ya uchumi pia lakini kwa mjini umeme kuwa elfu 27,000 sio sawa
 
Ndo tatizo la wahuni kushika ofisi za umma. Tanesco hawajawahi kujiendesha wenyewe bila kupata hasara na kama ilitokea basi wakati wa baba wa Taifa, mbona hata wakati kabla ya 27000 kuwepo tayari shirika lilishawashinda na wakati huo nguzo moja ilikuwa laki saba, kwanini hata wakati huo walikuwa wanafanyia hasara? Hivi inawezekanaje wao wapeane unit zaidi ya 300 kwa mwezi na shirika lisipate hasara? Na bado wana mishahara na marupuru, huu kama si wizi ni nini?
Unaona umeandika hoja kumbe umeandika ujinga...Shida yenu Vijana wa CHADEMA kila Jambo ni kubisha hata kama lina ukweli ndani yake.....KWA mjini kuunganisha umeme wa 27,000/ ni ujambazi unaofanywa Mchana kweupe... Mimi naungana na Mkurugenzi wa TANESCO kupanga bei Mpya za kuunganishiwa umeme kwa mjini.
 
Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Hasara ipo Tanganyika ila zenji soon utasikia umeme bure kwa wote wameanza na kuunganishiwa bure.

Halafu hii hasara imeanza baada ya jpm kufariki mbona wakati wa jpm walikua wanasherekea kila siku kuwa wanaingingiza faida hadi gawio walikua wanatoa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiulize 27k inatosha kununua vifaa vyote pamoja na kuunganishiwa? Tuwe wakweli ktk hili.
 
Viongozi wetu kichwani wanamakamasi nakuhakikishia eti huyo ni mkurugunzi wa shirika kubwa la umeme anatefemea 27000 badlala ya kutegemea mauzo ya unit za umeme ambazo ndo kwenye faida

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yenu kila mtu anajifanya mjuaji haya mambo ya umeme sio hadithi za bunuasi ni mambo ya kitaalamu.. Mkurugenzi Mkuu TANESCO ameongea kitaalamu Sasa wewe ukajifanya unajua sana wakati hata kutofautiana +ve na -ve hujui bora ukae kimya
 
Back
Top Bottom