Mahangaiko yameanza

Mahangaiko yameanza

TAARIFA KWA UMMA

Uongozi wa Jambo TV unakanusha kwa nguvu zote taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha picha yenye nembo ya Jambo TV na kichwa cha habari kisemacho “REDBRIGEDI WA CHADEMA AJIFANYA ASKARI WA JWTZ, POLEPOLE AHUSISHWA.”

Tunapenda kufafanua kuwa taarifa hiyo siyo chapisho halali la Jambo TV, wala haijawahi kuchapishwa kwenye majukwaa yetu rasmi ya habari. Taarifa hiyo ni ya kughushi kwa kutumia nembo na jina la Jambo TV kinyume cha sheria.

Jambo TV haina uhusiano wowote na chanzo kilichoeneza taarifa hiyo, na tunaendelea kufuatilia kwa kushirikiana na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe kwa wahusika wa upotoshaji huu.

Tunatoa wito kwa wananchi na wafuasi wa vyama vyote vya siasa kuepuka kusambaza taarifa zisizothibitishwa na kuhakikisha wanapata habari kupitia vyanzo rasmi vya Jambo TV pekee.

Tunaendelea kushikamana na misingi ya ukweli, weledi na uwajibikaji katika utoaji wa habari kwa umma.

Imetolewa na:
JAMBO TV
Oktoba 4, 2025.View attachment 3483387
Jambo TV meza waliyotingisha Ina vinywaji vya gharama kubwa sana.
 
^Nimeambiwa hapa kwamba unajua kwenye protocol za Jeshi

Captain anaongoza kikosi kizima so huyu kwenye kikosi chake tu akiamuru kiwake kinawaka mazima maana akiita parade wanakuja wote mpaka walioko nje ya Dar.

Halafu Mwanajesh mmoja ni sawa na police 3-5.^

Haya mambo ndo nimejua leo, yajayo yanaburudisha😂
 
Screenshot_20251004-182516.jpg
 
Back
Top Bottom