Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,369
- 283,462
Ohoooo !!!!Anachoongea Makongoro Mahanga ni ukweli mtupu.
Waitara hatakiwi kurudi Bungeni tena kwa kura za watu walewale waliompigia kura 2015 na leo amewasaliti.......kitendo cha kumrudisha Bungeni hakika ni undondocha wa kiwango cha lami...!!
NO VOTE FOR MRISYA WAITARA.....mwambieni arudi kijijini akare kichuri....nyambaf>